KUHUSU ISHU YA KUOMBA KUSEPA…KUMBE SIO ONYANGO TU….MASTAA WENGI SIMBA HAWANA FURAHA…

0
Habari za Simba SC

Beki kisiki wa Simba, Joash Onyango huenda asionekane tena msimu ujao wa Ligi Kuu Bara baada ya kuuomba uongozi wa timu hiyo kuvunja mkataba wake uliobaki ili aende kujaribu maisha mengine ya soka nje ya Simba. Beki huyo alitua nchini Agosti 14, 2020 akitokea Gor Mahia ya nchini Kenya akisaini mkataba wa miaka miwili, aliutumikia kwa mafanikio makubwa na baadaye...

KUELEKEA USAJILI MPYA SIMBA….HAWA HAPA MASTAA 10 WANAOTAKIWA KUPIGWA CHINI HARAKA…

0
Habari za Simba SC

Baada ya klabu ya Simba kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kwa mara ya nne kwenye misimu mitano, wanachama na mashabiki wa timu hiyo sasa wamekuja juu wakitaka mabadiliko makubwa kwenye kikosi. Aprili 28, ikiwa nchini Morocco, Simba iliondolewa kwa mikwaju 4-3 ya penalti, baada ya kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Mabingwa Watetezi, Wydad...

MABOSI SIMBA KUWAJADILIA MBRAZILI NA MGUNDA…LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA….

0
Habari za Simba SC

Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imepanga kukutana kwa ajili ya kulifanyia tathimini Benchi la ufundi la timu hiyo, linaloongozwa na Kocha Mkuu, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Hiyo ni baada ya Simba kutoka kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports uliopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani...

AHMED ALLY:- TULIPOFELI NA KUANGUKA NI PALE TULIPOSAJILI WATU TULIOWAAMINI…

0
Ahmed Ally Simba SC

Wakati Simba SC ikitajwa kuwa katika mpango wa Usajili, huku baadhi ya majina ya Wachezaji watakaosajiliwa yakifika mezani kwa viongozi wa Klabu hiyo, Meneja Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally amesema bado hafahamu majina ya wachezaji watakaosajiliwa, lakini akasisitiza usajili watakaofanya utakuwa wa kishindo kutokana na kufanya vibaya kwenye michuano yote msimu huu. Simba SC msimu huu 2022/23 imeshindwa kuchukua...

BAADA YA KUONA KAKOSA MALI …ALIYEKUWA MKE WA HAKIMI AIBUKA NA HILI JIPYA….

0
Habari za Michezo

Hiba Abouk, mke wa zamani wa mwanasoka wa Morocco Achraf Hakimi, amekuwa akichukua vichwa vya habari hivi karibuni. Mwigizaji na mwanamitindo huyo sasa ameibua mapya baada ya kudai kuwa alikuwa maarufu zaidi kuliko mwanasoka huyo walipoanza kuchumbiana mwaka wa 2018. Hata hivyo, madai haya yamezua utata mwingi, hasa kwa vile alidaiwa kutaka nusu ya utajiri wake baada ya talaka yao. Abouk amesema...

PAMOJA NA USHINDI DHIDI YA WASAUZI JANA….NABI AIGOMEA YANGA…ATOA MSIMAMO WAKE…

0
Habari za Yanga SC

LICHA ya Yanga kushinda 2-0 nyumbani dhidi ya Marumo Gallants kwenye mechi ya kwanza nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, kocha Mkuu wa Wanajangwani hao, Nassredine Nabi amesema hajaridhishwa na namna timu yake ilivyocheza. Katika mechi hiyo, mabao ya Yanga yalifungwa na Stephane Aziz Ki dakika ya 63 na Benard Morrison dakika ya 90. Akizungumza baada ya mechi kumalizika, Nabi amesema...

USHINDI WA YANGA JANA WAITIKISA CAF….WASAUZI WAJIINGIZA MATATIZONI KWA MCHEZO WA PILI…

0
Habari za Yanga SC

YANGA ikiwa nyumbani jana uwanja wa Benjamin Mkapa imeichapa mabao 2-0 Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kutanguliza mguu mmoja katika fainali ya michuano hiyo. Mabao ya kiungo Stephane Aziz Ki, dakika ya 64 na Winga Benard Morrison dakika ya 90+ yametosha kuifanya Yanga kutanguliza mguu fainali...

UKWELI MCHUNGU…..SIMBA ISIBEZWE KWA NUSU FAINAL YA YANGA CAF…

0
Habari za Simba SC

Yanga imefuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ni mafanikio makubwa na historia kwa timu na nchi kwa ujumla. Huwa inatokea mara chache. Hakuna mtu aliyeipa Yanga nafasi ya kufanya makubwa katika mashindano hayo msimu huu. Unajua kwanini? Nitakueleza. Yanga haikuanza vizuri mashindano. Baada ya mechi mbili dhidi ya vibonde Zalan, hawakuwa na jipya mbele ya Al Hilal ya Sudan....

KISA MATOKEO YA TWAHA KIDUKU…MWAKINYO ASHINDWA KUJIZUIA…ATAJA WANAOMFELISHA…

0
Mwakinyo na Kiduku

Bondia mashuhuri nchini, Hassan Mwakinyo 'Champez', amelalamikia viongozi wa Kamisheni ya kusimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC), kwa kile alichodai kuwa viongozi hao wanafanya kazi kwa ubaguzi, jambo ambalo linalokwamisha maendeleo ya mchezo huo nchini. Kauli hiyo ya Mwakinyo inakuja kufuatia matokeo ya pambano lake la April 23 uwanja wa Jamhuri Dodoma dhidi ya Kuvesa Katembo kutowekwa kwenye mtandao unaohifadhi...

HIVI NDIVYO ALLY SALIM..ALIVYOPANDA CHAT NA KUPOROMOKA GHAFLA NDANI YA SIMBA…

0
Habari za Simba SC

Zimekuwa takribani siku 14 za haraka kwa Mnyama Simba, lakini pia kwa kipa wao, Ally Salim. Wakati Enock Inonga na Kibu Dennis wakiiadhibu Yanga Aprili 16 pale Temeke, Simba walikuwa wakiingia uwanjani wakishiriki katika michuano mitatu. Sio tu kwamba walikuwa wakishiriki, lakini itoshe kusema kwamba walikuwa wakishindana katika michuano yote. Na matazamio ni kwamba waangeweza kuondoka na kitu fulani katika...