MAAJABU YA WASAUZI YAMNYIMA USINGIZI NABI NA YANGA YAKE…MAAMUZI YAKE HAYA HAPA..

0
Maruno Gallants

Kocha Mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi, amesema wachezaji wake wanapaswa kusahau mafanikio waliyoyapata katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Rivers United, ili kuweza kufanya vizuri kwenye hatua ya Nusu Fainali ya michuano hiyo. Yanga SC imefuzu kucheza hatua hiyo baada ya kufanikiwa kuiondosha Klabu ya Rivers United ya Nigeria kwa jumla ya mabao...

KUHUSU WACHEZAJI WATAKO ACHWA SIMBA…JINA LA KIBU DENIS LATAJWA TENA…MBRAZILI AACHIWA MSALA…

0
Habari za Simba SC

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi chao kwa kusajili wachezaji wa kigeni wenye ubora na Rekodi nzuri ya kuzifikisha timu zao katika hatua nzuri za michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Simba SC imeishia hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kutolewa na Mabingwa watetezi Wydad Casablanca...

HII HAPA REKODI MPYA YA MAYELE CAF AMBAYO SIMBA HAWATATAKA KUISIKIA…

0
Habari za Yanga SC

KWA kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitupa nje Rivers United, Yanga imeandika historia ya kibabe katika soka la Tanzania lakini wakati ikifanya hivyo, nyota wake Fiston Mayele naye ameweka rekodi ambayo watani wao Simba hawatopenda kuisikia. Mayele ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa timu ya Tanzania aliyefunga idadi kubwa zaidi ya mabao katika...

KISA YANGA KUKUTANA NA WASAUZI…ABDI BANDA AIBUKA NA HILI JIPYA…’AMFUNDISHA KAZI’ NABI…

0
Habari za Yanga SC

KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amepewa mchongo mzima kama anataka timu yake iibuke na ushindi dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini, mchezo wa nusu fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika, utakaopigwa Mei 10 kwenye Uwanja wa Mkapa. Beki wa Chippa United inayofanya vizuri kwenye Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda anaifahamu vizuri Marumo Gallants walipocheza nayo mechi...

NABI ASHTUKIA JANJA YA WASAUZI….NGASA AILILIA SIMBA SC….MBRAZILI AITEGA AZAM FC..

0
Gazeti la Mwanaspoti la leo

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Ijumaa ya 5/5/2023.

YANGA BADO TATU TU….

0
Singida vs Yanga SC

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga imeondoka na alama tatu ugenini baada ya kuwachapa wenyeji wao Singida Big Stars kwa mabao 2-0 kwenye mchezo uliomalizika katika Uwanja wa CCM Liti Mkoani Singida. Ushindi huo unaifanya Yanga sasa kuhitaji alama Tatu pekee kwenye mechi zake tatu zilozobaki kujihakikishia ubingwa wa pili mfululizo wa Ligi Kuu Bara huku mechi yao ijayo...

MERIDIANBET WAZIDI KUTAPAKAA DAR ….WAPELEKA SHANGWE BUGURUNI MALAPA….

0
Meridianbet

Mwendo ni ule ule ambapo leo hii Meridianbet wameendelea na uzinduzi wa maduka ya kubashiri katika maeneo mbalimbali na safari hii wamezindua duka Buguruni Malapa litawasaidia wakazi wa hapo wanaohitaji kubashiri kiurahisi. Hiyo sasa imekuwa ni kama Desturi kwa Kampuni hii ambayo inaongoza kwa kuwa na ODDS KUBWA hapa Tanzania kuzindua maduka na kuonyesha kuwa wanawajali sana wateja wao ambao...

NABI ASAKA REKODI MPYA CAF….INJINIA HERSI MAPEMA TUU AANZA KUCHEZA ‘NNJE YA UWANJA’…

0
Habari za Yanga SC

KOCHA wa Yanga SC, Nasreddine Nabi ameliambia Gazeti la Mwanaspoti kwamba kwa mkakati alioupanga na vijana wake, kuna rekodi inakuja nusufainali dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini.Mechi ya kwanza itachezwa Mei 10, Kwa Mkapa. Nabi ameweka wazi kwamba tayari wameanza kuicheza mechi hiyo kwa kukusanya taarifa za Marumo na ameona mechi moja pekee ya Wasauzi hao na kazi inaendelea. Nabi...

MPOLE HALI TETE CONGO….ASHINDWA KUCHEZA HATA MECHI MOJA….ISHU NZIMA IKO HIVI…

0
Mpole Congo

Haukuwa msimu mzuri kwa Mshambuliaji wa FC Lupopo, Mtanzania George Mpole kucheza Ligi Kuu ya DR Congo kama ilivyokuwa matarajio yake ya awali, kutokana na ligi hiyo kusimamishwa ghafla. Mpole ambaye alijiunga na FC Lupopo kupitia usajili wa dirisha dogo akitokea Geita Gold FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, amejikuta malengo yake yanakwama, baada ya kuambiwa na vingozi wao na...

CHELSEA KUMSHUSHA MANE NA POCHETTINO STAMFORD BRIDGE…

0
Habari za Kimataifa

Meneja mtarajiwa wa Kikosi cha Chelsea, Mauricio Pochettino ameripotiwa kupitisha mpango wa usajili wa mshambuliaji wa FC Bayern Munich ya Ujerumani Sadio Mane ili atue kukipiga Stamford Bridge katika dirisha lijalo la usajili. Mane mwenye umri wa miaka 31, amekuwa akikabiliwa na wakati mgumu huko Bayern tangu alipojiunga akitokea Liverpool mwaka jana na akiwa na miamba hiyo ya Bundesliga ameanzishwa...