HIVI NDIVYO SIMBA SC WALIVYOFAULI NA KUFELI MECHI YA JANA DHIDI YA WYDAD….
Simba SC imetolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya kumaliza dakika 90 kwa usawa wa mabao 1-1 katika mechi mbili za robo fainali dhidi ya Wydad. Mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca nchini Morocco, Simba haikuwa na mabadiliko katika kikosi chake kilichoanza mechi ya Dar na iliruhusu bao...
WAKATI WANIGERIA WAKIJA KWA GIA YA KUJIFANYA WANAHALI NGUMU…NABI KAWACHORA WEE..KISHA AKASEMA HILI…
Achana na taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii zilizodai kuwa Rivers United wanakabiliwa na ukata na hivyo wanaweza kuwasili nchini Jumamosi na kuondoka siku ya Jumatatu baada ya mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili. Hizo ni mbinu tu wanajaribu kutumia ili ionekane kama wamekata tamaa na mchezo wa marudiano. Fahamu kwamba, Rivers United...
HUYU HAPA KIBOKO YA YANGA…INJINI YA MAGOLI AZAM FC…TISHIO KUBWA LIGI KUU
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi 15 akifunga mabao manne na ametoa pasi 7 za mabao moja kati ya hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa. Nyota huyo kahusika kwenye jumla ya mabao 11 ndani ya...
WAZIRI MKUU AWAPA SHAVU HILI YANGA MECHI NA RIVERS…ISHU NZIMA IKO HIVI A-Z
Wakati homa ya mchezo wa Yanga dhidi ya Rivers ikizidi kupanda Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Kassim ameiunga mkono kampeni ya kununua tiketi za mchezo huo. Waziri Majaliwa amenunua tiketi 500 za mchezo huo wa mkondo wa pili wa Robo Fainali kati ya Yanga dhidi ya Rivers ya Nigeria utakaopigwa Jumapili Aprili 30 Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...
RAIS AL-NASSIR AJUTA KUMSAJILI RONALDO…”NIMEUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA
Cristiano Ronaldo, ambaye alijiunga na klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia katikati ya msimu, ameendelea kuwa gumzo kwa mashabiki. Kulingana na jarida la El Desmarque, Al-Muammar, rais wa Al-Nassr, alionyesha hasira yake na uchezaji wa Ronaldo katika mahojiano na ArabiaNews50. "Nimelaghaiwa mara mbili tu maishani mwangu. Ya kwanza ilikuwa wakati niliagiza kebab tatu na ninapokea mbili kati. Mara ya pili ilikuwa...
KAPOMBE NA CHAMA WAZAMISHA JAHAZI LA SIMBA…WYDAD WASONGA MBELE
Dakika 90 zimemalizika katika dimba la Mohamed V nchini Morocco kati ya Wydad AC dhidi ya miamba ya soka Tanzania, Simba SC huku Wydad Casablanca wakifanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mabingwa Barani Afrika baada ya kushinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati. Katika mchezo huo uliokuwa mgumu na wa aina yake huku ukichagizwa na wingi wa...
NABI AWANYOOSHEA KIDOLE MAYELE,MUSONDA…ROBERTINHO AHAMISHIA NGUVU YANGA, AZAM
Good Morning Mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam April 28, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazeti ya leo Tanzania
ROBERTINHO:- WYDAD HAWATAAMINI MACHO YAO…MZAMIRU ATULIZA PRESHA…
Huku Kocha Mkuu wa Simba SC, Robertinho Oliveira akisema kikosi chake kiko tayari kwa ajili ya mechi ya mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali itakayochezwa leo saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki kwenye Uwanja wa Mohamed wa Tano dhidi ya Mabingwa Watetezi Wydad Athletic Club nchini Morocco, kiungo 'tindo' wa timu...
DAKIKA KADHAA KABLA YA MECHI…MBRAZILI ASHINDWA KUJIZUIA NA TABIA ZA INONGA…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema anafurahishwa na ushirikiano uliopo kwenye safu yake ya ulinzi inayoongozwa na Beki kutoka DR Congo Henock Inonga. Kocha huyo ametoa kauli hiyo, huku kikosi chake kikiwa katika maandalizi ya kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa watetezi Wydad AC, utakaopigwa leo...
KUELEKEA NUSU FAINAL…BALEKE NA MAYELE WATABIRIWA MAKUBWA CAF…
Nyota Simba SC Jean Baleke na Fiston Mayele anayekipiga Yanga SC, wamepewa nafasi kubwa ya kuzibeba timu zao kufanya vizuri katika michezo wa Mkondo wa Pili ya Robo Fainali ya michuano ya Kimataifa inayoratibiwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. Simba SC inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, itashuka dimbani Keshokutwa kuivaa Wydad AC nchini Morocco wakati Yanga SC...