NAFASI KUBWA YA KUONDOKA NA MSHINDO IPO HAPA….

0
Meridianbet

Jumamosi ya mwisho kabla ligi kuanza hii hapa imefika ambapo wakali wa ubashiri wanataka kuhakikisha kuwa huondoki patupu. Tengeneza jamvi lako la ushindi sasa ujipigie mkwanja sasa. AC Milan watasafiri kukiwasha dhidi ya Leeds United ambao wamepanda ligi kuu ya Uingereza msimu huu. Milan wataka akuanza msimu mzuri hivyo kucheza mechi za kirafiki na timu ambazo nazo zinashiri ligi kuu...

RASMI….MABILIONI YA YANGA KUWEKWA HADHARANI….ENG HERSI KUANIKA KILA KITU….

0
Habari za Yanga leo

WANACHAMA na viongozi wa Yanga wameitana jijii Dar es Salaam mwezi ujao kwa lengo la kujadili mambo yao kabla hata msimu mpya wa mashindano wa 2025-2026 haujaanza. Wanayanga wanatarajiwa kukutana katika Mkutano Mkuu ulioitishwa na uongozi wa klabu hiyo utakaofanyika Septemba 7, 2025 kwenye Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam kuanzia...

PAMOJA NA KUWA NO 5 KWA UBORA AFRIKA….CAF WAITUPA SIMBA LIGI YA ‘MCHANGANI’ ….

0
Habari za Simba leo

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba ambayo ni namba 5 kwa ubora afrika na Yanga ambao ni namba 12 kwa ubora zimepangwa kwa pamoja kuanzia hatua ya awali ya raundi ya kwanza tofauti na misimu mitatu iliyopita zilipokuwa zikitofautiana kwa Simba kuanzia raundi ya pili. Hatu hiyo imetokana na mabadiliko yaliyofanywa na Shirikisho...

CHAN 2024:….HIVI NDIVYO TZ INAVYOWEKA NA KUVUNJA REKODI MPYA KILA MECHI….

0
CHAN 2024

LICHA ya kwamba haikuonyesha kiwango cha kutisha kulinganisha na ilivyocheza mechi ya ufunguzi wa fainali za CHAN 2024, lakini rekodi zimeandikwa na Taifa Stars imewapa kile ambacho Watanzania walio wengi wana hamu ya kukiona. Stars ilipata ushindi wa pili mfululizo wa michuano ya CHAN 2024 ikiwa ni rekodi kwani haijawahi kutokea kwa timu hiyo kufanya hivyo katika fainali zote zilizowahi...

HUKO YANGA MAMBO NI 🔥🔥🔥🔥….BALAA LA HUYO CONTE NA ‘CASEMIRO’ LIGI IANZE TU….

0
Habari za Yanga leo

KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna balaa la mastaa wapya wa timu hiyo lakini gumzo ni Moussa Bala Conte na AbdulNasir Mohammed ‘Casemiro’. Yanga inajifua karibu wiki sasa kwenye uwanja huo uliopo eneo la Mwenge ambapo  kivutio kikubwa ni mastaa wapya wa timu hiyo...

KWA MKATABA HUU WA YANGA KWA TSHABALALA….SIMBA WALISTAHILI KUKIMBIA…ATAKUNJA BIL 1.2

0
Habari za Yanga leo

BEKI Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ametambulishwa usiku wa juzi akiwa mmoja ya nyota wapya wa Yanga akitokea Simba, lakini saini ya mkataba uliomfanya avae uzi wa Jangwani si mchezo kutokana na mkwanja aliovuna kutoka kwa mabingwa hao wa soka wa Tanzania. Tshabalala ambaye  dili lake kutua Jangwani baada ya kumaliza mkataba Simba na kushindwa kuafikiana na mabosi wa Msimbazi, linafahamu kuwa...

HUKO SIMBA MAMBO BADO AISEEE…..ATEBA AKIPIGWA BEI TU…CHUMA HIKI KINATUA CHAP…

0
Habari za Simba leo

KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na kocha Fadlu Davids akisuka kikosi kwa akili na hesabu zake na habari mpya ni mipango yake ya kuunda safu mpya ya ushambuliaji. Kocha Fadlu anayesimamia usajili wa kikosi hicho, amejulishwa kwamba kuna uwezekano wa kumuuza straika...

HII HAPA TAREHE YA SIMBA, YANGA KUKUTANA MSIMU HUU…

0
HABARI ZA SIMBA NA YANGA

BODI ya Ligi Tanzania imetangaza mechi za timu nne za juu, Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars, ambazo zitapambana kuwania Ngao ya Jamii, kuanzia Septemba 11 hadi 14 mwaka huu. Mabingwa wa Tanzania Bara na washindi wa Ngao ya Jamii msimu uliopita, Yanga, itakwaana na Azam FC, huku Simba ikiikabili Singida Black Stars. Taarifa iliyotolewa na Idara ya Mawasiliano ya...

A-Z JINSI CHIKOLA ALIVYOTUA YANGA KWA ‘MZAHA’ WA ENG HERSI….

0
Habari za Yanga leo

WINGA, Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga. Yanga juzi ilitangaza kukamilisha usajili wa Winga huyo wa zamani wa Tabora United. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Chikola, alisema hata alipopigiwa simu kwa mara ya kwanza na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, kwake ilikuwa kama...

NAFASI YA KUSHINDA UNAYO MERIDIANBET LEO…

0
Meridianbet

Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa suka jamvi lako la kibabe hapa ujiweke kwenye nafasi ya wale ambao wataondoka na mshindo wa maana. Jisajili na ubashiri hapa. Tukianza na mechi ya Fredrikstad FK dhidi ya FC Midtjylland ya kule Denmark pale Meridianbet imepewa ODDS 3.90 kwa 1.88. Mwenyeji yeye anakipiga kule Norway huku leo hii ndio anayepewa...