MZEE WA KUWAJAZA ANUKIA COASTAL UNION…YANGA SC WAANIKA DILI LILILOKATALIWA…
UONGOZI wa Coastal Union umetuma maombi ya kuhitaji saini ya straika wa Yanga SC, Yusuf Athuman na Heritier Makambo ili kuitumikia timu hiyo kwa miezi sita. Wagosi wanataka kufanya usajili katika dirisha dogo ili kuhakikisha inafanya vizuri na kuendelea kusalia Ligi Kuu msimu ujao. Mmoja wa vigogo wa timu hiyo, alisema kuwa wametuma maombi ya kuwaomba kwa mkopo Athuman na Makambo...
WAKATI FEI TOTO AKIONEKANA DUBAI….YANGA SC WAIBUKA NA KUTOA MSIMAMO HUU…
Wakati Fei Toto akionekana Dubai, Rais wa Yanga SC Hersi Said alipata kufanya mahojiano maalum na Azam TV na kuwatoa hofu wana Yanga SC kuwa hakuna mchezaji muhimu atakayeondoka Yanga SC kwa sasa. Hersi amefika mbali na kueleza kuwa hata Feisal Salum hawezi kuondoka sababu bado ana msimu mmoja na nusu hadi 2024 lakini kingine hawezi kuondoka mchezaji yoyote sababu...
RASMI…INONGA KUKOSEKANIKA SIMBA SC KWA ZAIDI YA WIKI ….
Simba SC imethibitisha kuwa watamkosa kwa siku 10 Mlinzi wao mahiri, Henock Inonga Baka ambaye alipata majeruhi na kupelekea kuchanika sehemu ya mguu wake katika mchezo wao wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons SC kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo ambao Simba SC walipata ushindi mnono wa mabao 7-1 dhidi...
SAFARI YA FEI TOTO DUBAI…SIRI IMEVUJA…TAJIRI ALIYEMSAFIRISHA HUYU HAPA…
Baada ya sekeseke la kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuvunja mkataba na Yanga SC, ametimkia nje kwa mambo mawili - anatafutiwa kocha wa kumnoa ama timu ya kufanyia mazoezi pamoja na kupumzisha akili. Fei aliipa Yanga SC Sh112 milioni kwa ajili ya kuvunja mkataba na timu hiyo. Tangu ishu hiyo iibuke nyota huyo hajatoa kauli yoyote zaidi ya kuonyesha kwa vitendo...
HIVI NDIVYO MORRISON ANAVYOIKAMUA YANGA SC ‘MIHELA’…KACHEZA MECHI 10 TU….
Wakati Yanga SC ikijiandaa kuvuka maji kwenda Zanzibar kushiriki fainali za Kombe la Mapinduzi, Winga wake Mghana, Bernard Morrison yupo nchini kwao akiendelea na shughuli zake binafsi za kijamii huku namba zake tangu atue kwa Wanajangwani hao zikionekana kushitusha. Morrison alirejea Yanga SC mwanzoni mwa msimu huu akitokea Simba na tangu ametua namba zake kwa maana ya mechi alizocheza, mabao...
KUHUSU BOBOSI KUJA LINI YANGA SC…UKWELI HUU HAPA…ALLY KAMWE ‘AROPOKA.’..
Uongozi wa Yanga SC umeweka wazi kuwa utatambulisha majembe mawili mapya kabla ya mchezo wao wa kwanza wa michuano ya Kombe la Mapinduzi kuanza. Yanga SC kwa sasa wamekuwa wakihusishwa kwa karibu na usajili wa wachezaji wawili wakiwemo Luis Miquissone na Bobosi Byaruhanga kupitia dirisha hili dogo la usajili. Akizungumza, Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe alisema kuwa Yanga SC kabla...
SABABU YA SIMBA SC vs YANGA SC KUSOGENZWA MBELE HII HAPA…CORONA YATAJWA TENA…
HABARI ndio hiyo. Baada ya sare ya 1-1 katika mechi ya kwanza ya Kariakoo Derby kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu, miamba Simba SC na Yanga SC itarudiana tena ili kumaliza ubishi baina yao katika pambano litakalopigwa Aprili 9 mwakani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Awali, pambano hilo lilikuwa limepangwa kupigwa Februari, lakini limesogezwa mbele baada ya...
BIGIRIMANA AISHIKA PABAYA YANGA SC….KULIPWA MIL 750 ILI MKATABA WAKE UVUNJWE…
KIUNGO kutoka Burundi aliyewahi kukipiga Newcastle United ya England, Gael Bigirimana ni kama ameishika pabaya Yanga SC iliyokuwa ikipiga hesabu za kumtema, lakini ikibanwa na mkataba uliopo ambao utawalazimisha waajiri wake kumlipa mkwanja mnono. Awali ilielezwa Yanga SC ilikuwa na mpango wa kumpiga chini Bigirimana kupitia dirisha dogo la usajili kutokana na kushindwa kuonyesha makeke yaliyotarajiwa, lakini inadaiwa hesabu hizo...
WAKATI YANGA SC WAKIENDELEA KUKAZA…FEI TOTO ATUA KWA ‘WAARABU’ KULA MAISHA…
Kiungo mahiri wa Tanzania aliyetangaza kununua mkataba wake na Yanga SC ya Dar es Salaam, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ yupo Dubai, Falme za Kiarabu akiwa katika mapumziko na katika sherehe za kuukaribisha Mwaka mpya. Mwanandinga huyo ametua Dubai jana asubuhi akitokea Visiwani Zanzibar na kupokelewa na wenyeji wake. ”Tumempokea Fei Toto, tutakuwa naye hapa Dubai amekuja kupumzika,” amesema mmoj kati...
RASMI….MOSES PHIRI ‘AJIONDOA’ SIMBA SC…ISHU NZIMA IKO HIVI…
WAKATI wachezaji wa Simba SC wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya kuelekea Zanzibar kushiriki Mapinduzi Cup imebainika kuwa straika wa timu hiyo, Mzambia Moses Phiri amejiondoa kikosini kwa kurejea kwao. Phiri amerudi Zambia kwa ajili ya mapumziko huku pia akiwa anauguza jeraha lake la kifundo cha mguu alilolipata katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar. Taarifa tayari zilithibitisha kuwa Phiri atakosekana ndani ya...