KAZI IMEKWISHA….KOCHA WA VIPERS AFICHUA DILI LAKE NA SIMBA SC…

0

Mabosi wa Simba SC bado wanazidi kukuna kichwa juu ya mchakato wa kusaka kocha mpya, baada ya kubainika ni ngumu kumleta nchini Msenegal, Lamine N’Diaye kutokana na dili hilo kuingia mdudu na sasa wameelekeza nguvu kwa majina matatu, likiwamo lile la kocha aliyetakiwa na Yanga SC. Mwishoni mwa wiki iliyopita mmoja wa vigogo wa Simba SC alikaririwa kwamba kabla ya...

WAKATI YANGA SC WAKIENDELEA KUMNGOJA…FEI TOTO ATIMKIA ZAKE ULAYA…DILI LAKE LIKO HIVI…

0
Fei toto atimka Yanga SC

Kiungo wa Yanga SC, Zanzibar Heroes na Taifa Stars Feisal Salum Abdallah amekwea pipa leo kuelekea Ulaya kupitia Falme za Kiarabu, akiacha timu yake inamenyana na Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu. Feisal ambaye yupo kwenye mgogoro wa Kimkataba na klabu yake ya Yanga SC baada ya yeye kuvunja Mkataba kwa kutumia vipengele vya mkataba huo na kujitangaza kuwa huru. Alhamisi...

KISA FEI TOTO….GSM APANIA KUIBOMOA AZAM FC…MORRISON AHUSISHWA…

0
Habari za Yanga SC

WAKATI sakata la kiungo Feisal Salum likiwa bado halijapoa, klabu ya Yanga SC imejibu mapigo kwa kuamua kugonga hodi ndani ya Azam FC kwa kutoa ofa ya kutaka kuwasajili nyota wawili wa timu hiyo, kiungo James Akaminko na winga Kipre Junior. Inadaiwa mabosi wa Yanga SC wametuma ofa hiyo kwa Azam FC ikiwa siku chache tangu kuwepo kwa taarifa za...

BAADA YA FEI TOTO KUSEPA …DODOMA JIJI NAO WATAKA KUCHOMOA VIFAA HIVI YANGA SC..

0
Dodoma Jiji yataka vifaa vya Yanga SC

Klabu ya Dodoma Jiji FC imejitosa kuziwani Saini za Wachezaji Heritier Makambo na Yusuf Athuman wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga SC katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la Usajili. Mpango huo umefahamika kufuatia wawili hao kuwa sehemu ya wachezaji watakaouzwa kwa Mkopo, huku Klabu nyingine inayotajwa kuwawania ni Coastal Union ya jijini Tanga. Hata hivyo Dodoma Jiji FC inadaiwa...

JINA LA MAYELE LAZIDI KUTIKISA AFRIKA…AWEKWA KAPU MOJA NA NABY KEITA WA LIVERPOOL…

0
Habari za Yanga

Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele, amekuwa miongoni mwa wachezaji bora katika kikosi cha mwaka 2022, kwa mujibu wa mtandao wa Foot-Afrika kutokana na ubora, kiwango chake ambacho amekuwa akionyesha na miamba hiyo. Mayele ndiye kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu Bara hadi sasa akifunga 14 na kuifukuzia rekodi yake ya mabao 16 aliyofunga msimu uliopita nyuma ya aliyekuwa mshambuliaji wa...

HIVI NDIVYO MERIDIANBET WANAVYOUAGA MWAKA 2022 KWA KUIGUSA KIJAMII….

0
Meridianbet na Jamii

Katibu Mkuu Chama cha Watu Wenye Ualbino Mkoa wa Dar Es Salaam Gaston Mcheka ametoa shukrani baada ya kupokea vifaa vya kuwasaidia katika shughuli zao za kila siku. Vifaa hivyo ni Mafuta maalum ya kutunza Ngozi, na kofia za kujikinga na mwanga wa jua ambavyo vyote hivyo vimetolewa kama msaada na Meridianbet Tanzania ikiwa ni sehemu ya kuwakumbuka watu mbalimbali...

TAKWIMU ZINAONGEA…KWA MZUKA HUU WA SAIDO …SIMBA SC WANAWEZA KUPATA ‘KISUKARI’…

0
Habari za Simba

SAIDO Ntibazonkiza ameonyesha kwamba anaweza kuwa msaada kwenye kikosi cha Simba SC kufuatia kutupia mabao matatu 'hat trick' kwenye mchezo wake wa kwanza wa ligi akiwa na timu hiyo dhidi ya Tanzania Prisons. Ni kama mashabiki wa Simba SC walisahau kutokuwepo kwa mshambuliaji wao hatari, Moses Phiri ambaye ni majeruhi kutokana na kiwango cha nyota huyo aliyesajiliwa dirisha hili kutoka...

MTIBWA SUGAR WAIANDALIA ‘NGUMI PELESUPELESU’ YANGA SC LEO…

0
Msemaji wa Mtibwa Sugara, Thobias Kiafaru aitisha Simba SC

Klabu ya Mtibwa Sugar imetamba kuwa tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa 19 wa Ligi Kuu Tanzana Bara dhidi ya Mabingwa watetezi Yanga SC Mchezo huo utakaopigwa leo Jumamosi (Desemba 31) katika Uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro, utashuhudia Mtibwa Sugar wakisaka ushindi, baada ya kupoteza dhidi ya Ihefu FC kwa mabao 3-1 mwishoni mwa juma lililopita, huku Yanga SC...

BIGIRIMANA NAYE AISHIKA PABAYA YANGA SC…KOCHA MPYA SIMBA AFICHWA ‘USHUANI’ HUKOO…

0
Gazeti la MwanaSpoti

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumamosi ya 31/12/2022, siku ya mwisho kabisa kwa mwaka huu 2022.

DOMAYO ATUA ‘KITASHA’ NAMUNGO FC…STEPHEN SEY NAYE NDANI AISEE…

0
Frank Domayo ajiunga na Namungo FC

Kiungo wa zamani wa Klabu ya Young Africans na Azam FC Frank Domayo ‘Chumvi’ ametambulishwa rasmi na Klabu ya Namungo FC ya mkoani Lindi. Domayo amejiunga na klabu hiyo akiwa mchezaji huru, baada ya kuachwa na Azam FC mwishoni mwa msimu uliopita 2021/22. Domayo ametambulishwa rasmi Klabuni hapo kupitia Kurasa na Mitandao ya Kijamii ya timu hiyo, huku taarifa hiyo ikiandikwa: #WelcomeTosouthernkillers✅...