WAKIFUNGWA NA SIMBA SC AU YANGA SC TU…AZAM FC WANAKIMBILIGA HUKU…

0
Simba SC na Yanga SC zilivyoifanya Azam FC kuchanganyikiwa na magolikipa

Dar es Salaam Dabi ya 30 ilimalizika hapo juzi Jumapili kwa ushindi wa 3-2 kwa Yanga SC huku kipa wa Azam FC, Ali Ahamada akigeuka kituko. Taarifa za chinichini zinasema Azam FC imeshaanza kutafuta kipa mwingine baada ya kutoridhishwa na kiwango cha Ali Ahmada tangu ujio wake hapa nchini. Hii ina maana kwamba maisha ya kipa huyo Mfaransa mwenye asili ya...

FEI TOTO KISHUA ZAIDI…ATINGA UZI MWEKUNDU NA MWEUPE RASMI…MBRAZILI KOCHA MPYA SIMBA SC..

0
Gazeti la Mwanaspoti la leo

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Ijumaa ya tarehe 30/12/2022.

TUNZA HII…MUDATHIR YAHYA KUMFUATA NTIBAZONKIZA SIMBA SC…ISHU NZIMA IKO HIVI…

0
Mudathiri yahya kujiunga Simba SC

Simba SC imeendelea kushusha majembe usajili wa dirisha dogo, baada ya kumtangaza mpika mabao Said Ntibanzonkiza wakimpa kandarasi ya mwaka mmoja na nusu, na kuanzia sasa atatangazwa fundi mwingine ndani ya klabu hiyo. Imeelezwa tayari wamemalizana na kiungo Mudathir Yahya anayemudu kucheza nafasi mbili - namba sita na nane uwanjani, akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na Azam FC kabla...

PAMOJA NA TETESI ZA KOCHA WAO KUSEPA..VIPERS SC WAIVIMBIA SIMBA SC ….

0
Vipers SC vs Simba SC

Uongozi wa Mabingwa wa Soka nchini Uganda Vipers SC umeivimbia Simba SC kuelekea Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23. Simba SC imepangwa Kundi C katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika sambamba na Vipers SC inayoshiriki Michuano hiyo kwa mara ya kwanza, Raja Casablanca (Morocco) na AC Horoya (Guinea). Afisa Mtendaji Mkuu wa Vipers ya...

BAADA YA TETESI KUWA NYINGI…VIPERS WATOA TAMKO KUHUSU BOBOS..WAITAJA YANGA SC..

0
Bobosi to Yanga SC and Simba SC

Mabingwa wa Soka nchini Uganda Viperes SC imefungua milango kwa Klabu yoyote ya Tanzania inayomuhitaji Kiungo wao Bobos Byaruhanga katika kipindi hiki cha Dirisha Dogo la Usajili. Bobos amekua akitajwa kuwa katika mipango ya Klabu nguli za Dar es salaam Simba SC na Yanga SC, huku kila mmoja akitajwa kuwa katika mazungumzo ya kumsajili. Uongozu wa Vipres SC umesema upo tayari...

BAADA YA MASHABIKI YANGA KULIANZISHA…AZAM FC WAMKANA FEI TOTO..

0
Tetesi za Usajili Yanga

Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkareem Amin ‘Popat’ amesema klabu yao haina mpango wowote wa kumsajili Kiungo wa Yanga FC Feisal ‘Fei Toto’. Kiungo huyo amekua gumzo katika vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii, kufuatia taarifa aliyoiweka katika Ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Instagram mwishoni mwa juma lililopita, akiwaaga Mashabiki, Wanachama na Wachezaji wenzake wa Young...

HII NI KIMYA KIMYA AISEE…NINJA KARUDI YANGA SC KUOKOA JAHAZI…ISHU NZIMA IKO HIVI…

0
Ninja arudi Yanga SC

Baada ya beki wa kati Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kumaliza mkataba wake wa mkopo Dodoma Jiji, amerejea Yanga SC na ameanza rasmi mazoezi na wenzake kwenye Uwanja wa Avic Town, uliopo Kigamboni, Dar es Salaam. Ninja alikuwa aungane na wenzake juzi Jumanne, lakini ilishindikana ambapo timu hiyo ilifanya mazoezi ya gym na jana ilifanya ya uwanjani ambapo ndipo aliungana nao rasmi...

SIMBA SC KUTAMBULISHA KIFAA HIKI KIPYA KESHO UWANJANI…NTIBAZONKIZA KUKINUKISHA..

0
Kikosi cha Simba SC Msimu huu wa 2022/23

Wakati kiungo mpya, Saido Ntibazonkiza, anatarajiwa kuanza kuitumikia timu yake ya Simba SC kesho katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Prisons, klabu hiyo huenda ikatangaza mchezaji mpya iliyemsajili kwenye dirisha dogo ambalo limefunguliwa. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, alisema wanatarajia kukamilisha taratibu zote muhimu kesho na mambo yakienda vyema, Ntibazonkiza atakuwa sehemu ya kikosi...

SIMBA SC WAMPANIA DICKSON JOB…WAMWEKEA MIL 200 NA MSHAHARA WA MIL 10…

0
Habari za Yanga SC

Kabla ya sekeseke la kiungo wa Yanga SC, Feisal Salum 'Fei Toto' halijapoa la kuvunja mkataba na timu hiyo na waajiri wake kumgomea, limeibuka lingine la beki wa kati wa timu hiyo, Dickson Job ambaye ni panga pangua kikosi cha kwanza. Hivi karibuni baada ya kuibuka taarifa ya Fei Toto kupeleka pesa benki kwa ajili ya kuvunja mkataba na Yanga...

BAADA YA KUITUNGUA TENA YANGA SC…SOPU NAYE ALIAMSHA KWA DIARRA…

0
Habari za Michezo

Licha ya chama lake la Azam FC, kupoteza mechi ya ligi juzi kwa kuchapwa mabao 3-2 na Yanga SC, kiungo mshambuliaji wa Azam, Abdul Seleman 'Sopu' alikuwa moja ya wachezaji waliofanya vizuri kwenye mchezo huo akifunga mabao yote mawili ya timu yake na kuwa gumzo mtaani. Mabao hayo mawili yamemfanya Sopu kuifunga Yanga SC mabao matano katika mechi mbili alizokutana...