RASMI…SAIDO ASAINI SIMBA KWA MASHARTI HAYA…VYUMA VIWILI VYA KAZI KUTUA YANGA…HERSI AFUNGUKA A-Z…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano.
FT: YANGA SC 3-0 COASTAL UNIONS…..MAYELE AZIDI KUTAJWA…FEI TOTO AWARINGISHIA AZAM FC…
KLABU ya Yanga imefanikiwa kuichapa Coastal Unions Fc kwa mabao 3-0, mechi ambayo imepigwa katika dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Fiston Kalala Mayele mnamo dakika 28 kipindi cha kwanza na dakika ya 47 kipindi cha pili, wakati bao la tatu likifungwa na Feisal Salum. Ushindi huo wa Yanga sc umewafanya kuwaweka nafasi nzuri...
EDO KUMWEMBE:- ANAKOPITA MZIZE NI ‘SHORT CUT’….SIKU AKIIBEBA YANGA NDIO TUTAMJADILI…
Na Edo Kumwembe/MwanaSpoti Sikumbuki lini ilikuwa mara ya mwisho kwa mchezaji kutoka katika kikosi cha vijana cha Yanga na kuja kucheza timu ya wakubwa. Pale Azam nakumbuka kina Aishi Manula walitoka katika kikosi cha vijana. Wakapandishwa wakawa mastaa wakubwa. Pale Simba nadhani Jonas Mkude anabakia kuwa kijana wa mwisho kupata bahati hiyo. Nadhani kilichosaidia wakati huo kilikuwa umaskini ambao uliwakabili watu...
SIMBA WATUA BUKOBA KIBABE…MKUDE KAMA KAWA….CHAMA NA SAKHO KAZI IPO…
Kiungo na Mchezaji wa muda mrefu ndani ya Simba Jonas Mkude ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha Simba ambao wapo kwenye msafara ulioweka kambi Bukoba. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba. Ikumbukwe kwamba Simba msimu wa 2021/22 ilinyooshwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika...
WALIOPIGWA GOLI 9-0 NA AZAM FC…WAIBUKANA HAYA MAPYA…WAMTAJA MANDONGA….
Tangu kuanzishwa Mkoa wa Katavi haujawahi kuwa na timu yoyote ya First League, Championship wala Ligi Kuu na sasa Malimao FC imepania kufanya kweli na kumaliza kiu ya wadau na mashabiki kuzipeleka Simba na Yanga mkoani humo. Katavi ilianzishwa rasmi Machi 1, 2012 ikiwa na mikoa mingine mitano, Njombe, Geita, Songwe na Simiyu lakini haijawahi kuziona Simba na Yanga, jambo...
KISA MESSI KUITWA ‘G.O.A.T’…EDO KUMWEMBE AIBUKA NA KUWEKA REKODI SAWA…AMTAJA RONALDO…
Mchambuzi maarufu wa michezo nchini, Edo Kumwembe amepinga suala la nahodha wa Argentina, Lionel Messi kuitwa GOAT kisa kutwaa Kombe la Dunia. Huwa nina mawazo tofauti kuhusu suala la GOAT. Jana nilikuwa nawasoma wachambuzi wa Ulaya. Ni kama vile wamehitimisha mjadala wa GOAT baada ya Messi kutwaa World Cup. Hii issue ya kwamba GOAT huwa anapatikana wakati wa World Cup huwa...
MGUNDA:- HIZI GOLI TANO TANO…TUTAWAPIGA SANA WANAOKUJA KIZEMBE MBELE YETU…
Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Geita Gold kwenye mechi ya kwanza ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza juzi, Klabu ya Simba imetamba kuendeleza dozi nene kwa timu zingine huku Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda, akiwashukuru na kuwasifu wachezaji wake kwa kubadilika kadri siku zinavyosonga mbele. Akizungumza baada ya...
TETESI ZA USAJILI….AJIB NA SINDIGA BIG STARS MAMBO NI BAM’BAM….CHILUNDA KUMFUATA…
Singida Big Stars wanatajwa kukamilisha usajili wa Kiungo Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Azam FC. Ajib alijiunga na Azam Disemba mwaka 2021 kwa Mkataba wa mwaka mmoja akitokea Simba SC. Wakati huo huo Singida Big Stars wako katika hatua za mwisho kumchukua mshambuliaji asiye na namba kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC Shabani Idd Chilunda.
DILI LA MANZOKI KUTUA BONGO NDIO BASI TENA….SIMBA WAZIDIWA UWEZO NA WACHINA….
Taarifa za uhakika zinaeleza Simba SC wameshindwa kukamilisha dili la Cesar Manzoki kukipiga kwenye klabu yao kutokana na timu yake ya sasa, Dilian kuvutiwa na huduma yake na kuweka Ofa kubwa mezani. Mabosi wa Dilian tayari wamefanya mazungumzo na Manzoki na kukubaliana kumpa mkataba mwingine wenye thamani kubwa na mshahara ambao ni mrefu zaidi ya ule wa awali. Inaelezwa mshahara wa...
SHAFII DAUDA NA TFF NGOMA BADO MBICHI….HUKUMU YAKE BADO YASOMA VILE VILE…
Kamati ya maadili ya TFF imeamua kutupilia mbali maombi ya mjumbe wa DRFA aliyefungiwa na TFF, Bw Shafii Dauda hivyo ataendelea kutumikia adhabu hiyo. Shafii aliomba shauri lake kusikilizwa tena ili haki itendeke pamoja na kuomba kamati imuondolee adhabu ya kufungiwa na faini lakini amegonga mwamba. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maadili Mwita Waisaka, Shafii Dauda alishindwa kuhudhuria kikao...