MKAKATI WA SIMBA KWA LIGI KUU TZ UKO HIVI….KAZI KUANZA RASMI KESHO….
Kikosi cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi Desemba 18,2022 Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo ni wa kwanza kwa mzunguko wa pili kwa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Mapema jana Desemba 16 kikosi hicho kiliwasili Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo huo wa ligi. Katika mchezo...
KISA MAKUNDI CAF….MUKOKO APATWA NA ‘KIHORO’ KUKUTANISHWA NA YANGA…..
Kiungo wa TP Mazembe, Mukoko Tonombe amesema kuwa ubora wa Yanga waliouonyesha katika michuano ya kimataifa kwa msimu huu inaonyesha ni kwa kiasi gani timu hiyo imeimarika huku akiweka wazi kuwa mchezo dhidi yao utakuwa mgumu. Mukoko kabla ya kujiunga na TP Mazembe alikuwa akikipiga Yanga kabla ya kurejea tena kwa miamba hiyo ya soka Afrika kutokea DR Congo. Klabu hizo...
YULE MSHINDI WA BAJAJ YA MERIDIANBET HUYU HAPA…NI MKULIMA KUTOKA TANGA…..
Ni kijana wa kitanzania ambaye ni mzaliwa na mkazi wa Handeni Tanga Didas Shauri Yeremia maarufu kwa jina la Viktoria, alishindwa kujizuia furaha yake aliyokuwa nayo baada ya kufika Makao Makuu ya Meridianbet. Mfalme wa kubeti kwa kitochi, ambaye pia ni mshindi wa promosheni kubwa ya SHINDA BAJAJI, iliyokuwa ikichezeshwa kwa muda na hatimaye BINGWA alipatikana na kukabidhiwa bajaji yake...
YANGAAA…WAIFANYIA UMAFIA MKUBWA SIMBA KWA MIQUISSONE…WAMPA MKATABA KUFURU…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumamosi.
BAADA YA DIRISHA LA USAJILI KUFUNGULIWA LEO…YANGA KAMA HAWATAKI VILEE…ONA ALICHOSEMA HERSI…
Wakati Dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa Rasmi leo Ijumaa (Desemba 16), Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameweka wazi kuingia sokoni kusaka Wachezaji. YoungAfricans inayotetea Taji la Ligi Kuu pamoja na Kushiriki Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, imekuwa ikitajwa kuwa kwenye mazungumzo na baadhi ya Wachezaji ambao huenda wakasajiliwa katika kipindi hiki. Rais wa Young Africans Injinia Hersi...
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU SIMBA…KABURU NJIA NYEUPEEE…KAZI ILIYOBAKI NI HII…
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ juzi alijitosa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa klabu hiyo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 29, mwakani, huku ikifafanuliwa kuwa ni mtu mwenye haki ya kugombea nafasi yoyote kwa mujibu ya Katiba. Kaburu alishika nafasi hiyo kabla ya kupata matatizo ya kisheria wakidaiwa kuwa na matumizi mabaya ya...
KUELEKEA MECHI YAO YA LIGI…GEITA GOLD WAICHIMBA MKWARA WA ‘KISUKUMA’ SIMBA…
Simba imetua mkoani Mwanza kwa ajili ya kucheza mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita. Wekundu hao wa Msimbazi ambao walimaliza mzunguko wa kwanza wakiwa katika nafasi ya tatu wanataka kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye michezo ya mzunguko wa pili, ili kutimiza malengo yao ambayo waliyatangaza mwanzoni mwa msimu huu ya kutwaa ubingwa wa...
KISA CAF….SIMBA NA YANGA KUANZA KUPISHANA ANGANI KAMA ‘NJIWA’…MCHONGO MZIMA UKO HIVI…
Wawakilishi wa Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Simba na Yanga zina mlima mrefu wa kuupanda kuhakikisha zinatinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo makubwa ngazi ya klabu huku wakitembea jumla ya kilomita . Hivyo ndiyo unaweza kusema kutokana na kilometa watakazo zitumia kufuata pointi tisa ugenini zitazunguka mataifa matatu tofauti kwa usafiri wa ndege. Simba...
BAADA YA KIMYA KIREFU….MZEE KILOMONI AIBUKA NA HILI JIPYA KWA SIMBA….AMPA MAAGIZO MO DEWJI…
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la Klabu ya Simba, Hamis Kilomoni amesema uongozi wa klabu hiyo unatakiwa kuingia mfukoni na kusajili washambuliaji wawili wa maana ili timu hiyo itishe kimataifa. Kilomoni alisema amekuwa akifuatilia mechi za Simba lakini bado ana wasiwasi na ubora wa washambuliaji wa Simba kwa jicho la kimataifa kwani wengi hawachezi anavyodai vizuri. Simba ina washambuliaji wengi...
KISA CAF…NABI NA MGUNDA WAINGIA KWENYE MTIFUANO NA TFF…HOJA ZAO HIZI HAPA…
Kocha wa Simba, Juma Mgunda ambaye timu yake inacheza Ligi ya Mabingwa Afrika na yule wa Yanga ambao wanacheza Kombe la Shirikisho, Nasreddine Nabi wameungana kulalamikia ratiba ya michuano ya kimataifa. Simba na Yanga wanaanzia ugenini kukabiliana na vigogo wenzao kwenye makundi waliyopangwa wakipishana tarehe, Simba ikianza Februari 10 dhidi ya Horoya ya Guinea huku Yanga wakikipiga Februari 12 na...