BARBARA APEWA MTIHANI MZITO SIMBA…MUKOKO AIBUKA NA JIPYA KUHUSU YANGA…
Pitia ukursa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano
MANZOKI ANAKUJA ….USAJILI SIMBA KUANZA RASMI KESHO…PHIRI NA MAYELE WAIJAZA MAMILIONI TFF…
Pitia ukursa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano
ILI WAMSAJILI…SIMBA WAMPA MASHARTI HAYA NTIBAZONKIZA…MWENYEWE ATAKA MIL 50 TU…
Siku chache kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili, mabosi wa Simba wameonyesha kiu yao ya kumnasa kiungo fundi wa zamani wa Yanga, Saido Ntibazonkiza na habari za ndani zinasema jamaa amepewa masharti magumu naye ameweka yake mezani ili kama vipi amwage saini. Mbali na Saido inaelezwa Simba inamezea pia kiungo mkabaji, Kelvin Nashon ‘Dudumizi’ anayekipiga Geita Gold. Kwa dili...
SAKATA LA KUJIUZULU BARBARA…MENGINE MAPYA YAIBUKA…ALIKUWA HAZIIVI NA ‘TRY AGAIN’….
Mashabiki wa Simba bado wapo njia panda baada ya Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez kutangaza ghafla kujiuzulu, huku kukiwa na tetesi za chinichini kwamba mambo sio mambo Msimbazi. Barbara alitangaza juzi jumamosi uamuzi wake huo, kwa kuandika taarifa mtandaoni, akiweka bayana mambo makuu mawili, ambayo hata hivyo yameibua maswali mengi kwa wanasimba wakiona hayana uzito mkubwa, kiasi cha...
KIGWANGALA: KAMA MO DEWJI AMESHINDWA SIMBA AWEKE WAZI…NIKO TAYARI KUTAFUTA NAMNA…
Mbunge wa Nzega Vijijini na mwanachama wa Klabu ya Simba SC na Dk Hamisi Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram ameandika ”Sijui kuna kitu gani kinaendelea ndani ya klabu yetu ya Simba. Sijui kwa uhakika, lakini nasoma comments za wadau/washabiki wa Simba kwenye kurasa zangu za mitandao ya kijamii na wengine wakichukua muda wao kuniandikia meseji kabisa.” ”Baadhi wakitaka...
WAKATI SIMBA WAKILIA NA MAJERAHA KWA WACHEZAJI WAO…YANGA SIRI IKO HIVI…
Kocha wa viungo wa Yanga, Helmy Gueldish amefichua siri ya ubora wa mastaa wa timu hiyo ni kuzingatia mazoezi ambayo yamekuwa yakiwaepusha na majeraha ya mara kwa mara na kudai wapinzani wao katika Ligi Kuu, Kombe la ASFC na hata Kombe la Shirikisho Afrika kazi wanayo. Gueldish alitua Yanga akitokea klabu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia ikiwa ni pendekezo...
BATGOL: BOCCO HAPEWI HESHIMA YAKE SIMBA…NAFASI YA CHAMA WATAFUTE MCHEZAJI MWINGINE…
Straika wa kimataifa wa zamani wa Tanzania aliyewahi kuwika Nazareth Njombe na Simba, Emmanuel Gabriel ‘Batgol’ amesema lazima nahodha wa Simba, John Bocco apewe heshima kutokana na mchango kwa klabu hiyo, licha ya sasa kutopata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza. Mkongwe huyo alisema Bocco, hatendewi haki na timu hiyo na sasa inapaswa aheshimiwe kwa mchango mkubwa alioufanya kwa kipindi...
TUONGEE KIMPIRA…HI ISHU YA BARBARA KUJIUZULU SIO KUBWA KIVILEE..ILA BADO KUNA TATIZO SIMBA..
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, Jumamosi alitangaza kujiuzulu nafasi yake kwa sababu ambazo hakuziweka bayana, ingawa kulishaanza kuzabaa maneno kuhusu mzozo ndani ya uongozi wa klabu hiyo kongwe. Barbara hana muda mrefu tangu ateuliwe kushika wadhifa huo katika mazingira ambayo yaliibua maswali kuhusu mchakato wa kumpata baada ya aliyeajiriwa kushika wadhifa huo, Senzo Mazingisa kutoka Afrika Kusini, naye...
KABURU ACHOKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBOSI SIMBA…VIGOGO WENGINE HAWA HAPA…
Wagombea 13 wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba SC utakaofanyika Januari 29, mwakani. Kati ya wagombea hao wanne wanawania nafasi ya mwenyekiti na tisa nafasi ya Ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi. Miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti ni aliyekuwa Mtunza Fedha wa klabu hiyo, Yusuph Nassor Majid ambaye kwa...
DILI LA MAZNOKI LAFIKIA PATAMU SIMBA….MGUNDA AKABIDHI MAJINA YA VIFAA VIPYAA…
KUELEKEA usajili wa dirisha dogo, uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Juma Mgunda, tayari amekutana na viongozi wa Bodi ya Wakurugenzi na kuwasilisha ripoti ya maboresho ya kikosi chake, huku jina la straika, Cesar Manzoki likijadiliwa kwa ukubwa. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa Desemba 16, mwaka huu na kufungwa Januari 15, 2023 ambapo timu...