IMEFICHUKA SIMBA….MAMBO SABA YAMTOA BARBARA UCEO…WAJUMBE NA TRY AGIN WATAJWA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
YALIYOMKUTA MSHERY HUKO YANGA NI MUNGU TU…VITA SASA NI YA DIARRA NA JOHORA..
Yanga ni Djigui Diarra. Taarifa ya daktari wa timu hiyo imethibitisha kipa namba mbili Aboutwalib Mshery atakaa nje ya uwanja mwezi mzima kutokana na kusumbuliwa na goti. Yanga ambayo imemaliza kinara mzunguko wa kwanza na pointi 38, itamkosa Mshery kwa wiki nne tangu aonekane kwenye benchi kwa mara ya mwisho dhidi ya Ihefu ambapo walipasuka mabao 2-1. Akizungumza Meneja wa timu...
KUONDOKA KWA BARBARA NA TETESI ZA MO DEWJI KUTAKA KUUZA HISA….SIMBA WASIOMBE HAYA YATOKEE…
Simba haina tatizo ila imezungukwa na watu wenye matatizo wasiotaka mabadiliko. Ukiona taasisi inakubali kupoteza wasomi wake kirahisi ujue kuna watu hawataki klabu ipige hatua. Simba inarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yawezekana Mo Dewji ana mapungufu lakini ndiye ameifanyia mema klabu kuliko hao wanaojiona wakamilifu. Haipingiki Babra alikuwa pale kwa kulinda maslahi ya Mo...
PAMOJA NA BARBARA KUTIMKA SIMBA….HAYA HAPA MAMBO MAZITO ALIYOYAFANYA KWA MIAKA MIWILI TU…..
Septemba 5, 2020 Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ilimteua Barbara Gonzalez kuwa CEO mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo Mazingiza Mbatta ambaye alitimkia Yanga. Kuteuliwa kwake kulileta maneno miongoni mwa wadau wa soka wakihoji uwezo wake hasa kwenye masuala ya soka na ukaribu wake kikazi na mwekezaji Mo Dewji. Taarifa ya Simba kuhusu uteuzi wake ikazima...
TETESI: BAADA YA KULAMBA SHAVU POLISI TZ….ZAHERA AMKUMBUKA MAKAMBO……
Kikosi cha Polisi Tanzania kimekuwa na msimu mbaya hadi sasa kikiburuza mkia katika msimamo wa Ligi Kuu, kikikusanya pointi tisa tu katika mechi 15, lakini mabosi wa klabu hiyo hawajalala kwani wamempa timu Mwinyi Zahera na kocha huyo fasta amemchomoa straika mmoja kutoka Yanga. Zahera aliyewahi kuinoa Yanga, ametua Polisi kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Joslin Bipfubusa aliyetemwa hivi karibuni...
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU SIMBA….VIGOGO WASUSIA NAFASI YA UENYEKITI….
Kamati ya Uchaguzi wa Simba ilifungua mlango kwa wagombea kuchukua fomu kuwania nafasi mbalimbali tangu Desemba 5, mwaka huu lakini hadi jana Jumamosi hakuna mgombea aliyejitokeza kuchukua ya uenyekiti. Nafasi ya mwenyekiti ambayo inawaniwa ipo chini ya Murtaza Magungu ambaye alichaguliwa kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Swedy Mkwabi kujiuzuru. Ni wajumbe wanne pekee wamechukua fomu hizo...
TETESI: KISA MKWANJA ANAOKUNJA AL AHLY….SIMBA WAAMUA KUMPOTEZEA MAZIMA LUIS…
Yule kijana mwenye mbio, Luis Miquissone yuko mtaani kwao Maputo. Ni hapo Msumbiji. Simba wamethibitisha itashindikana kumrudisha Msimbazi wakati huu wa usajili. Viongozi wamekiri kutambua shauku ya mashabiki lakini baada ya kufanya naye mazungumzo wamekubaliana wamuache tu aendelee na ishu zake maana mshahara wake ni zaidi Sh120 milioni. Mmoja wa viongozi wa usajili wa Simba amesema kuwa wanamtaka mchezaji huyo, lakini...
KUMEKUCHAA….SAIDO APEWA MASHARTI SIMBA….ZAHERA AMCHOMOA MTU YANGA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.
GSM AMALIZANA NA BOBOSI KIMYA KIMYA…MKATABA WASAINIWA DUBAI…MAMBO MAWILI YAMNG’OA BARBARA SIMBA..
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumapili.
MAPYA YA UIBUKA KUJIUZULU KWA BARBARA…MO DEWJI YUPO NJIANI KUMFUATA..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Raha la leo Jumapili.