SIMBA SC WAVAMIA ZAMBIA KUBEBA STRAIKA LA MAGOLI…NABI AKABIDHIWA FAILI LA BOBOSI……

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi  la leo Jumamosi

ACHANA NA KINA MAYELE…KITAKWIMU SIMBA NDIO BABA LAO KWENYE MAGOLI BONGO NZIMA…

0

Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kua vinara wa ufungaji mabao kwenye ligi kuu ya NBC mpaka mzunguko wa kwanza unamalizika. Wekundu hao wa msimbazi licha ya kukamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo lakini wameonesha umahiri wao kwenye kupachika mabao kwani mpaka sasa ndio timu iliyofunga mabao mengi zaidi kwenye ligi hiyo wakiwa na jumla ya mabao...

TETESI…AZAM FC WADHAMIRIA KUMBEBA FEI TOTO…MAMA’KE AKUBALI ATUE CHAMAZI…

0
Fei toto Yanga SC

Inaelezwa kuwa Uongozi wa Azam FC umedhamiria kumsajili Kiungo wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Feisal Salum ‘Fei toto’ mwishoni mwa msimu huu. ‘Fei toto’ amekua akitajwa kuwa kwenye mipango ya Klabu hiyo ya Chamazi jijini Dar es salaam, huku tajiri Yusuph Bakhresa akitajwa kuwa mstari wa mbele, kuhakikisha anamsajili kiungo huyo kwa gharama yoyote. Mtu wa karibu na...

IMEFICHUKAA…KUMBE KILICHOMKIMBIZA NCHINI MBRAZILI WA SINGIDA NI HIKI…

0
Singida Big Stars

Kama ambavyo ilikuwa kwa nyota wa England, Raheem Sterling aliyeondoka Qatar kwenye kambi ya timu ya taifa kwenye fainali za Kombe la Dunia ndivyo ilivyokuwa kwa Mbrazil wa Singida BS, Peterson Da Cruz ‘Peu’ ambaye amerejea kwao kutokana na matatizo ya kifamilia. Peu alionyesha kiwango cha hali ya juu kwenye michezo ya ligi ambayo ameitumikia timu hiyo kuanzia alipojiunga nayo...

VIBE LA SIMBA NA YANGA LAHAMIA ZANZIBAR…MAMILIONI YATENGWA KWA AJILI YAO…

0
Habari za Simba na Yanga

Watani wa jadi Simba, Yanga huenda zikahamishia uhasimu wao wa jadi katika soka la Tanzania Bara katika visiwa vya Zanzibar baada ya kupokea mualiko wa kushiriki kwenye mashindano ya Mapinduzi Cup yatakayofanyika mwakani. Timu zingine ambazo zimepokea mualiko ni Azam FC na Singida Big Stars katika mashindano ambayo yanatarajia kutimua vumbi kuanza Januari Mosi 2022. Endapo timu hizo zitathibitisha ushiriki Singida...

BAADA YA MZUNGUKO WA KWANZA KUISHA…KIKOSI BORA CHA MASTAA WA NNJE HIKI HAPA…

0

Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara umekamilika juzi Disemba 7 kwa michezo miwili ambapo Yanga wamemaliza kibabe wakiichapa Namungo huku Coastal wakiiduwaza Singida kwa kipigo cha magoli 2-1. Wapo mastaa ambao wamefanya mambo mazito katika mzunguko huu ambao mpaka makala hii inatengenezwa vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Bara walikuwa Yanga pale juu na wafuatao ni mastaa wa...

ENDELEA KUVUTA ‘KUVUTA MKWANJA’ WA KOMBE LA DUNIA KUPITIA ODDS ZA KIBABE ZA MERIDIANBET…

0

Ile Barabara ya kwenda fainali ya Kombe la Dunia sasa imekamilika mkandarasi aliyehusika kuijenga barabara hiyoni FIFA akishirikiana na wahandisi kutoka Qatar na mafundi walikuwa niwengi lakini wamebaki hawa Croatia vs Brazil, Uholanzi vs Argentina, Morocco vs Ureno na England vs Ufaransa. Fursa ya hela ipo Meridianbet Bonyeza hapa kuona odds za mechi hizi. Ndege ya kwanza kabisa itaanza safari...

SIMBA WAMPA MATOLA UBOSI…MABOSI WASHTUKIA DILI…MWENYEWE AAMUA KUFUNGUKA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.

NDANI YA SIKU 6 TU….BONGE LA BEKI KUTUA SIMBA…AZAM WAPANIA KUSEPA NA FEI TOTO AISEE..

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.

TETESI….ALIYESHINDA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUTUA SIMBA…AHMED ALLY AANIKA A-Z YOTE…

0

Klabu ya Simba SC inatajwa kumalizana na aliyekua Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Barani Afrika Wydad Casablanca Mohamed Benchirifa, hivyo muda wowote atatambulishwa. Simba SC ipo kwenye mchakato wa kumsaka Kocha Mkuu ambaye atakuja kufanya kazi na Wasaidizi Juma Mgunda na Seleman Matola, ambao walifanikiwa kuivusha Klabu hiyo hadi Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu...