COASTAL UNION vs SIMBA SC….HII NI MECHI YA KUJUANA ZAIDI…

0

Kocha wa Coastal Union, Yusuf Chipo amesema katika mchezo wao wa leo dhidi ya Simba anataka kufuta rekodi ya kufungwa na timu hiyo mara kwa mara na kurudisha ari ya ushindi kikosini. Coastal Union na Simba zinashuka leo saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani, jijini Tanga, wakati wenyeji wakikosa rekodi nzuri mbele ya mabingwa mara 22 wa Ligi...

NABI:SIJAWAHI KUFUNGIWA WALA KUPEWA ADHABU ZAIDI YA HAPA TANZANIA…NIMEONEWA SANA..

0
Habari za Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema katika nchi ambazo amefundisha soka hakuwahi kukumbana na adhabu ya kadi nyekundu wala kufungiwa mechi tofauti na ilivyo Tanzania. Nabi amesema hayo leo wakati akizungumza kuhusu kutoridhishwa na maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kumfungia mechi 3 na faini ya sh 500, 000. TPLB...

WAKATI MKATABA WAKE UKIKARIBIA KUISHA…CHAMA AWASHIKA PABAYA MABOSI SIMBA…

0
Chama na Simba SC Msimu Huu

Mabosi wa Simba wanakuna kichwa baada ya kiungo fundi na mkali wa asisti wa kikosi hicho, Clatous Chama kuwashika pabaya. Undani wa taarifa ni kwamba mkataba wake wa mwaka mmoja anafikia ukingoni na sasa ishu inayoendelea ndani ni namna gani ya kumuongeza. Chama ana asisti sita sawa na Ayoub Lyanga wa Azam, huku akifunga bao moja katika Ligi Kuu Bara...

YACOUBA NA KAMBOLE WITWA RASMI YANGA…KISINDA, MAKAMBO NA BIGIRIMANA KUWAPISHA …

0

Dirisha dogo la usajili linafunguliwa wiki ijayo. Yanga imewapigia simu mastraika wawili, Lazarous Kambole na Yacouba Sogne warejee kikosini haraka ili wawaangalie kabla ya kufanya uamuzi. Yanga inaoongoza msimamo kwa sasa ikiwa na pointi 32 baada ya mechi 13, itashuka uwanjani keshokutwa kuvaana na maafande wa Tanzania Prisons, lakini mabosi wa timu hiyo wanawaza kuboresha safu ya ushambuliaji kwa ajili...

WAKATI TANZANIA WAKIIBEZA ‘UNBEATEN’ YA YANGA….LA LIGA NA CAF WAITOLEA MFANO KWA TIMU NYINGINE…

0

Ligi Kuu ya Hispania(LaLiga) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) zimeipongeza klabu ya Yanga kwa kuweka rekodi ya kutofungwa michezo 49 ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Taarifa ya Laliga imesema ligi hiyo inatoa pongezi za dhati kwa Yanga kwa kuwa klabu ya kwanza Tanzania kufikia rekodi hiyo. “Hii ni rekodi pekee Tanzania na ukanda wa Afrika mashariki na Kati,” imesema...

MANARA: RONALDO KANIAMBIA ANAKUJA KUSTAAFIA YANGA…

0

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameibua gumzo mitandaoni baada ya kudai kwamba alikutana na staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo nchini Qatar na wakawa na maongezi ya kina. Manara alifadhiliwa safari ya kwenda Qatar na kampuni ya michezo ya Kamari ya Wasafi Bet chini ya CEO wake Diamond Platnumz na aliongozana na wake zake wawili kushuhudia mechi ya kufuzu...

TETESI ZA USAJILI: SIMBA WAAMUA LIWALO NA LIWE KWA NTIBAZONKIZA…WAULIZIA MKATABA WAKE NA GEITA ULIVYO…

0

Simba inaendelea kupiga hesabu za kusuka kikosi kimyakimya na kufanya mambo mapema na sasa mabosi wa klabu hiyo wameonyesha hawatanii kwa kumganda kiungo fundi mmoja wa Geita Gold wakiulizia mkataba wake ili kuupitia kabla ya kuamua cha kufanya kupitia dirisha dogo. Kiungo huyo mkongwe alieyagandwa na Simba ni Saido Ntibazonkiza wakiutaka mkataba wake na Geita Gold mezani kabla ya kumbeba...

BAADA YA PUMBA NA MCHELE KUJITENGA QATAR…HIZI HAPA ODDS KUBWA ZA MERIDIANBET KWA MECHI ZA 16 BORA…

0

Ule utamu halisi wa michuano ya kombe la dunia sasa utaupata hatua ya mtoano ya timu 16 bora, ile miamba iliofuzu kutoka kwenye makundi itakutana hatua hii ambayo ukipigwa mechi moja unaaga michuano. Mchongo ni Meridianbet pekee na machaguo spesho ukibetia chama lako. Jumamosi Desemba 03 2022 Uholanzi akiyefuzu kwa jumla ya alama 07, alizozipata dhidi ya Senegal, Ecuador na Qatar,...

KIUNGO INJINI YA YANGA AOMBA KUSEPA…JOB NA DIARRA NAO HATIHATI…WATANO KUPIGWA PANGA SIMBA SC…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.

BAADA YA KUJICHAJISHA KWAO NIGERIA…OKWA ARUDI BONGO NA MZUKA KAMA WOTE…

0
Habari za Simba SC

Mshambuliaji wa Simba, Nelson Okwa asubuhi ya leo (Ijumaa), amerejea nchini akitokea kwao Nigeria kwa ajili ya matibabu ya nyama za nyuma ya paja ambazo zilikuwa zikimsumbua. Okwa aliumia kwenye mazoezi ya Simba siku moja kabla ya kucheza na Azam FC, mchezo ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0, ambalo lilifungwa na Prince Dube. Baada ya kujitibia hapa nchini wiki moja...