WORLD CUP: ALIYESHANGILIA KAMA RONALDO MBELE YAKE AFUNGUKA SABABU YA KUFANYA HIVYO..

0

Mshambulizi wa Ghana Osman Bukari anasema hakumdharau Cristiano Ronaldo alipoigiza shangwe ya bao la nyota huyo wa Ureno baada ya kufunga bao dhidi yao kwenye mechi ya Kundi H ya Kombe la Dunia siku ya Alhamisi. Bukari aliyeingia kama mchezaji wa ziada alifunga goli na kufanya matokeo kuwa 3-2 katika dakika ya 89 kabla ya kukimbia kuelekea kwenye kibendera cha...

PAMOJA NA NGEBE ZA ‘UNBEATEN’…YANGA WAFUNIKWA NA SIMBA KWENYE MKWANJA…TAKWIMU HIZI HAPA…

0

Kama kuitika basi waliitika kwenye Uwanja wa Liti mjini hapa. Mashabiki waliojitokeza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Singida Big Stars dhidi ya Simba wameizidi mechi ya Dodoma Jiji na Yanga kwenye uwanja huohuo. Kwa mujibu wa takwimu za mapato zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mpira wa Miguu cha Mkoa wa Singida (SIREFA), Mwendwa Kanka ni kama...

KAMA HUNA DEGREE YA CHUO KIKUU …SAHAU UBOSI NDANI YA SIMBA…

0

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba, Boniface Lyamwike leo amewatangazia Wanachama wa Simba, Wapenzi na Mashabiki kwamba tarehe ya uchaguzi wa Simba ni 29 January 2023 na kwamba kigezo cha yeyote anaeutaka Uenyekiti wa SIMBA lazima awe na degree ya Chuo Kikuu. “Mtu yeyote ambaye anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ni lazima awe na angalau shahada ya Chuo Kikuu...

KIPYENGA KIMELIA SIMBA….MABOSI WAPYA KUPATIKANA MWAKANI…RATIBA KAMILI IKO HIVI…

0

Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba imetangaza rasmi kufanyika uchaguzi wake mkuu Januari 29 mwakani. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa klabu hiyo, Boniface Lihamwike amesema maamuzi hayo yamefikiwa baada ya viongozi walioko madarakani kumaliza muda wao. "Simba inaenda kufanya uchaguzi wake mkuu ila nitoe tu angalizo kwamba kwa viongozi waliomaliza...

YANGA MPOO….?…NABI ATAKA MAMBO KAMA YA SIMBA HUKO….PLUIJM APIGWA NA BUTWAA…

0
Habari za Yanga SC

Baada ya kuiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kocha wa kikosi hicho Nasreddine Nabi ameanza kuipigia hesabu Mbeya City, huku akiamini vijana wake wanaweza kuwafanya Wananchi wafurahie mataji mfululizo ‘back to back’ kama za Simba miaka minne iliyopita na sio rekodi pekee. Ushindi wa juzi, Jumanne kwenye Uwanja wa Liti dhidi wa wenyeji, Dodoma...

WAKATI LIGI IKIENDELEA LEO…MANULA AZIDI KUMFUNIKA DIARRA KWA UBORA…TAKWIMU HIZI HAPA…

0
Habari za Simba leo

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikitimiza raundi ya 13, winga wa Azam FC, Ayoub Lyanga ndiye anayeongoza kwa kutoa pasi nyingi za mabao akiwa na 'assist' sita huku kipa wa Simba, Aishi Manula ndiye mlinda mlango mwenye 'cleen sheet' nyingi, imefahamika. Manula ambaye juzi aliruhusu bao moja katika sare ya goli 101, ana jumla ya 'clean sheets' nane mpaka sasa. Kwa...

BAADA YA KUONA MBEYA CITY WAMEWEZA…POLISI TZ WAAMUA KUINGIA NA STAILI HII DHIDI YA SIMBA…

0

UONGOZI wa Polisi Tanzania umetambulisha kampeni yake mpya ya ‘Lazima Utoe Ushirika' katika michezo yao ya Ligi Kuu Bara watakayochezea kwenye Uwanja wa Ushirika ulioko Moshi mkoani, Kilimanjaro na wataanza kuitekeleza pale watakapoikaribisha Simba kutoka Dar es Salaam, imefahamika. Maafande hao wataikaribisha Simba katika mechi ya raundi ya 13 ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa keshokutwa kuanzia saa 10:00 jioni. Polisi...

BAADA YA ‘KUIGAGADUA’ NAMUNGO…AZAM FC MACHO YOTE ‘KODO’ KWA COSTAL UNION…

0

BAADA ya kumalizana na Namungo ugenini sasa kikosi cha Azam FC kinafanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Chini ya Kocha Mkuu Kali Ongala timu hiyo imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Edward Manyama akitumia pasi ya Ayoub Lyanga. Mchezo wa kwanza kwa Ongala kuwa benchi ilikuwa dhidi ya Simba uliochezwa Uwanja wa...

BOCCO: MENGINE NI ZIADA TU….TIMU KUSAIDIWA NDIO KIPAUMBELE..

0
Habari za Simba SC

Baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’ kwenye ushindi 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting juzi, Nahodha John Bocco amesema kitu cha kwanza ni kuisaidia timu kupata ushindi mengine yanafuata. Bocco amesema kufunga mabao matatu ni jambo zuri lakini yeye anaangalia zaidi kuisaidia timu kupata ushindi na kuwapa furaha mashabiki. Nahodha Bocco amesema lengo ni kuhakikisha anatumia vizuri kila nafasi anayoipata uwanjani...

AHMED ALLY: KAMA TUTAENDELEA HIVI UBINGWA SIMBA TUSAHAU…TIMU YETU BADO SANA …

0
Habari za Simba

Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amesema hakuna njia ya mkato kwa kikosi chao zaidi ya kuhakikisha kinabadilika na kushinda michezoya ugenini, ili kutimiza lengo la kuwania ubingwa msimu huu 2022/23. Simba SC ilipata sare ya nne msimu huu juzi Jumatano (Novemba 23) dhidi ya Mbeya City iliyokua nyumbani Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya,...