KISA SARE NA MBEYA CITY….MGUNDA KAONA ISIWE SHIDA…KAAMUA KUWATUPIA LAWAMA MABEKI…
Kocha Mkuu Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa kutoka sare ni sehemu ya mpira na hawezi kumtupia lawama mchezaji mmoja mmoja. Mgunda amekiri kuwa safu ya ulinzi ilishindwa kutimiza majukumu yake vizuri na kuruhusu Mbeya City kupata bao rahisi la kusawazisha lakini ndiyo sehemu ya mpira huwezi kufanya kila kitu kwa usahihi ndani ya dakika 90. Mgunda ameongeza kuwa hakuna mchezaji ambaye...
DAKTARI AFICHUA KILICHOMKUMBA MWAMNYETO JUZI…ALIKUWA AHEMI TENA…
Naodha wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto anaendelea vizuri kwa sasa baada ya juzi Novemba 22, 2022 kushindwa kumaliza mchezo dhidi ya Dodoma Jiji kwa kupata majeraha. Akizungumza na Yanga Media, Daktari wa Yanga Moses Etutu amesema Mwamnyeto alipata shida kidogo ya upumuaji baada ya misuli ya upumuaji kuchoka. "Hali Kama hii huwatokea wanamichezo kwa sababu Kama kucheza kwa kutumia nguvu sana,...
KAMA SIO NONGWA…MAYELE NDIO MCHEZAJI HATARI ZAIDI BONGO…TAKWIMU HIZI HAPA…
Mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele ameweka rekodi ya aina yake ndani ya klabu hiyo baada ya kuhusika katika mabao 20 tangu kuanza kwa msimu huu wa 2022/2023. Mayele juzi Novemba 22, 2022 alifunga mabao mawili dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye michezo (10) Ligi Kuu Tanzania Bara aliyocheza mpaka sasa, Fiston Mayele amehusika kwenye magoli 10 ambapo amefunga mabao...
WAKATI SIMBA WAKIIZIDI YANGA KWA PESA KITAKWIMU…FEI TOTO AIBUKA NA KUITAJA KWENYE HILI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Ijumaa.
AZAM FC WANOGEWA NA ‘PILAU’ LA KALI ONGALA…WAAMUA ‘KUMSUSIA’ TIMU MSIMU MZIMA…
UONGOZI wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa kaimu kocha mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu. Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora ambacho timu hiyo imekuwa ikikionyesha chini yake, hivyo viongozi wa juu wameamua kusitisha taratibu za kutafuta kocha mpya licha ya wengi kujitokeza kuwania nafasi hiyo. Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Abdulkarim Amin ‘Popat’ alisema...
MGUNDA: SIMBA KUTOKA SARE NA MBEYA CITY SIO DHAMBI…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Ramadhan Mgunda amepingana na Baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo waliokata tamaa na Ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu 2022/23. Simba SC inapitia wakati mgumu wa kuangusha alama inapocheza ugenini, ikifanya hivyo jana Jumatano (Novemba 23katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Mbeya...
KUHUSU MAKUNDI KLABU BINGWA NA SHIRIKISHO CAF…SIMBA NA YANGA KUJUA MBIVU NA MBICHI TAREHE HII..
Hatimaye Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limethibitisha kuwa Jumatano ya Desemba 21, itakua siku maalum ya kupanga Makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Barani humo. ‘CAF’ iliahirisha zoezi la upangaji Makundi ya Michuano hiyo ya ngazi ya vilabu Barani Afrika, lililokuwa limepangwa kufanyika Jumatano (Novemba 16) mjini Cairo Misri, bila kutoa sababu zozote. Hata hivyo Shughuli zote...
TETESI ZA USAJILI BONGO:..SIMBA WAPEWA MACHAGUZI YA KUZINGATIA…
Beki wa Pembeni wa zamani wa Simba SC Said Sued, ameutaka Uongozi wa Klabu hiyo kulitumia Dirisha Dogo la Usajili kufanya maboresho kwenye kikosi, kwa kusajili Mshambuliaji atakayesaidiana na Moses Phiri. Simba SC inapitia wakati mgumu wa kuangusha alama inapocheza ugenini, ikifanya hivyo jana katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Mbeya...
TUSIPOTEZE MUDA…HAWA QATAR NI KAMA TAIFA STARS TU…TOFAUTI YAO NA SISI NI UTAJIRI TU..
Juzi usiku pale Doha ilinichukua dakika tano tu za pambano kati ya wenyeji wa Kombe la Dunia Qatar dhidi ya Ecuador kuamini kwamba wenyeji wetu Qatar walikuwa ‘Taifa Stars’ iliyo tajiri. Haikuhitaji kuchukua muda mrefu. Walitawaliwa ndani ya dakika chache wakageuka kuwa kichekesho. Wakafungwa bao moja la haraka haraka ambalo wengi hawakuelewa vema kwanini lilikataliwa hadi teknolojia ilipofanya kazi ngumu...
KUELKEA DIRISHA DOGO….FEI TOTO ATAJWA RASMI SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI…
Beki wa pembeni wa zamani wa Simba, Said Sued ‘Panucci’ anasema; “Simba anatumika Clatous Chama lakini asipokuwepo timu inayumba, sasa hilo ni tatizo tofauti na Yanga, Yana ina viungo wazuri wachezeshaji kama Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Salum Abubakary ‘Sure Boy’.” Amewasisitiza viongozi wa klabu hiyo kuvunja benki na kufanya usajili katika maeneo matatu. Sued aliyeichezea timu hiyo kwa mafanikio makubwa kama...