BAADA YA MASHABIKI WA SIMBA KULIA KWAMBA ‘WANAOUMIA NI WAO’…TRY AGAIN AIBUKA NA KUWAJIBU HIVI…..
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ ametoa pole kwa Wanachama na Mashabiki wa Klabu hiyo, kufuatia matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City. Simba SC ilipata matokeo hayo jana Jumatano (Novemba 23) ikicheza ugenini Jijini Mbeya katika Uwanja wa Kumbukumbu ya sokoine, ikitangulia kufunga kwa bao la Mzamiru Yassin Kipindi cha Kwanza, lakini...
PRESHA YA MABEKI YASHUKA YANGA…BANGALA AMTULIZA NABI…MBEYA CITY KAZI WAPAGAWA HUKO..
Kiraka wa Yanga, Yannick Bangala anarejea kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City baada ya kumaliza adhabu ya kukosa mchezo mmoja kutokana na kuwa na kadi tatu za njano. Bangala anarejea wakati ambao Nabi anamhitaji zaidi kutokana na nahodha wake, Bakari Mwamnyeto kupata majeraha kwenye mchezo uliopita wa Ligi dhidi ya Dodoma Jiji uliochezwa Uwanja wa...
TAJIRIKA ‘CHAP’ NA MACHAGUO SPESHO YENYE ODDS KUBWA KUBWA KUTOKA MERIDIANBET…
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi ni kundi G na H, Uswizi vs Cameroon, Uruguay vs Jamhuri ya Korea, Ureno vs Ghana na Brazil vs Serbia. Kesho Ijumaa ni mechi za mzunguko wa pili Wales vs Iran, Qatar vs Senegal, Uholanzi na Ecuador...
TETESI ZA USAJILI :KIFAA CHA KAZI ALLAN OKELLO AJISOGEZA YANGA KIAINA…ATOA SHARTI HILI..
Kinda Kutoka nchini Uganda Allan Okello amekiri kuvutiwa na Klabu ya Young Africans inayoendelea kufanya vizuri katika Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa pili mfululizo. Young Africans inashikilia Taji la Ligi Kuu ikiwa inaendeleza Rekodi ya kucheza michezo 48 bila kufungwa tangu msimu wa 2020/21, ambapo kwa mara ya mwisho ilipoteza dhidi ya Azam FC kwa bao 1-0. Okello anayecheza...
MGUNDA NAYE ASHINDWA KUJIZUIA KUHUSU KIBU DENIS…AFUNGUKA KUHUSU WAKATI WAKE…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wakati wa kufunga kwa mshambuliaji wake Kibu Dennis unakuja. Nyota huyo msimu wa 2021/22 alikuwa mfungaji bora ndani ya kikosi cha Simba alipotupia mabao 8 kibindoni. Msimu huu hajafunga bao zaidi ya kutoa pasi moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons alipompa mshikaji wake Jonas Mkude. Mgunda amesema:”Kwa sasa kila mchezaji anatimiza majukumu...
BAADA YA KUONA MAMBO MAGUMU KWA WAARABU…ADEBAYOR AANZA KUJISOGEZA SIMBA KIAINA…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Niger na Klabu ya RS Berkane ya Morocco Victorien Adebayor amesema anatarajia siku moja atacheza Simba SC, kufuatia kuvutiwa na utamaduni wa Klabu hiyo ya Msimbazi, Dar es salaam. Adebayo alikaribia kutua Simba SC wakati wa Usajili wa Mwanzoni mwa msimu huu, lakini RS Berkane iliizidi kete Klabu hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kumwaga...
KISA SARE YA JANA…MGUNDA ABADILI GIA ANGANI…MBEYA CITY WALILALA KWENYE BASI KUMBE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.
HARAKATI ZA USAJILI ZAANZA RASMI YANGA…NABI AKABIDHI MAJINA YA VYUMA 5 KWA HERSI…
Mabosi wa Yanga wamekabidhiwa majina matano ya wachezaji ambao Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi amependekeza kwa ajili ya kuwaongezea mikataba mingine mipya ya kuendelea kubakia kikosini hapo. Hiyo ni katika kuelekea usajili wa dirisha dogo litakalofunguliwa mapema Desemba, mwaka huu ambao Yanga wamepanga kukifanyia maboresho kikosi chao kwa ajili ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho...
HUU NDIO UKWELI ULIVYO ‘BANA’….ACHA SIMBA WAJIFIE NA CHAMA WAO…
Acha Klabu ya Simba wajivunie Chama wao! Wana haki na si jambo la ajabu timu kuwa na shujaaa wao. Kwa miaka mingi FC Barcelona ilitengenezwa kumzunguka Lionel Messi kama ilivyo kwa Real Madrid na Cristiano Ronaldo (CR7). Ukipiga kura za maoni pale jangwani kati ya Aziz Ki na Feisal nani auzwe, Aziz Ki ataoneshwa mlango wa kutokea licha ya mapenzi makubwa...
FT:MBEYA CITY 1-1 SIMBA SC….BOCCO ASHINDWA KUMJIBU MAYELE…MGUNDA MHHH…
KLABU ya Simba imelazimishwa sare ya mabao 1-1 dhidi ya timu ya Mbeya City, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Sokoine Mbeya. Katika mchezo huo Simba Sc ilianza kupata bao katika kipindi cha kwanza kupitia kwa kiungo wao Mzamiru Yasin dakika ya 15 na kuwapelaka mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0. Kipindi cha pili klabu ya Mbeya City iliingia ikiwa inahitaji...