BAADA YA KUMNG’OA MWARABU…SENZO ATUMA UJUMBE MZITO YANGA..MO DEWJI APIGILIA MSUMARI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.
HIZI HAPA MECHI ZENYE ODDS KUBWA MERIDIANBET WIKIENDI HII….UNAFELIJE SASAAH…
Baada ya EPL kusimama kupisha michuano ya Carabao Cup, Wikiendi Hii itaendelea tena kwa michezo kadhaa kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza. Hispania Copa Del Rey, Serie A, na Ligue 1 nazo zitatimua vumbi. Sehemu ya kupata odds kubwa ni Meridianbet pekee. EPL ya kibabe ni michezo ya mwisho kabla ya Ligi kusimama, Manchester City waliopo nafasi ya...
BAADA YA YANGA KUTOBOA CAF…KAZE AIBUKA NA ‘KICHAMBO’ KWA MASHABIKI…
Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amewataka mashabiki wa timu hiyo kuwapa sapoti wachezaji na benchi la ufundi hata katika kipindi kigumu. Kaze amezungumza hayo baada ya timu hiyo kufanikiwa kuvuka katika hatua ya makundi ya michuano ya Shirikisho barani Afrika. Kaze alisema kuwa: “Niliongea baada ya mchezo wa kwanza kumalizika Dar kuwa tuna dakika 90 nyingine ugenini lakini watu walijua...
HALI YAZIDI KUWA MBAYA KWA PETER BANDA…SIMBA WATOA TAMKO HILI RASMI…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amesema Kiungo Mshambuliaji Peter Banda atakuwa nje ya Uwanja kwa Majuma manne ama zaidi. Kiungo huyo kutoka nchini Malawi aliiokoa Simba SC kwenye mchezo wa jana Jumatano (Novemba 09), kwa kufunga bao la kusawazisha dhidi ya Singida Big Stars iliyotangulia kufunga kupitia kwa Deus Kaseke. Akizungumza baada ya kikosi cha Simba...
KUHUSU UWEZO WA AKPAN..MGUNDA AMALIZA UTATA …AANIKA WACHEZAJI WANAOSTAHILI SIMBA …
Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa kazi ambayo anaifanya Victor Ackpan raia wa Nigeria kwenye kikosi hicho siyo ya kubezwa itaonyesha matokeo hivi karibuni. Nyota huyo hakuwa chaguo la kwanza la Mgunda kwenye mechi za hivi karibuni na alianzia benchi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar. Mgunda amesema kuwa anatambua uwezo wa wachezaji...
WAPINZANI WA SIMBA NA YANGA CAF KUJULIKANA WIKI IJAYO…KIMBEMBE KIPO HAPA…
Baada ya timu zilizofukuzu kuingia hatua ya makundi michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kujulikana sasa kinachosubiriwa ni upangaji makundi ya michuano hiyo na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika Novemba 16, 2022. Upangaji makundi hayo utafanyika makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) yaliyopo Cairo, Misri ukianza na michuano ya shirikisho na kisha Ligi ya Mabingwa. Timu zilizofukuzu...
NI MANDONGA TENA….SAFARI HII AIBUKA NA HII MPYA KUWAHI KUTOKEA..
Bondia wa Ngumi za kulipwa Karim Mandoga ameongoza zoezi la mabondia kupima Afya kuelekea pambano la Dar Boxing Derby Novemba 20,2022 Uwanja Wa Kinesi jijini Dar es Salaam. Akizungumza Mara Baada Ya Zoezi La Upimaji Afya Kwenye Ukumbi Wa 361 Mwenge Dar es salaam Mandoga amesema wanamasumbwi watarajie kushuhudia vipaji vipya vikitoa burudani ya aina yake kwenye pambano hilo ambalo...
BAADA YA KUWATUNGUA WAARABU JANA…RAIS SAMIA AWAPA KONGOLE YANGA….
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Klabu ya Yanga SC kwa kufanikiwa kuvuzu hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter, Rais Samia ameweka ujumbe huo wa kongole mara tu baada ya Yanga SC kuwafunga Club Africain ya Tunisia goli 1-0 katika mchezo wa marudiano baada ya awali kupata...
PAMOJA NA YANGA KUFUZU MAKUNDI JANA..MSIMU UJAO ISHU YA TIMU NNE CAF ITAKUWA HIVI…
Na: Hashim Mbaga 10/11/2022 Tanzania katika Msimu huu 2022-2023 Tumewakilishwa na Timu Nne za Yanga, Simba, Azam na Geita Gold baada ya kupata nafasi kutokana na Point zilizozalishwa huko nyuma zilizoishia msimu uliopita wa 2021-2022 ambako Tanzania ilikusanya Point 30.5 zilizofanya kuwa nafasi ya 11 kati ya 12 bora na mgawanyo wa Point hizo ukitokana na mjumuisho toka Timu za...
SHAFFIH DAUDA: HAKUNA KAMA SURE BOY NA NDEMLA NCHI HII….
Mchambuzi maarufu wa soka nchini, Shaffih Dauda ameonyesha kufurahishwa na viwango vya wachezaji katika nafasi za kiungo ambao ni wazawa. Hii ni baada ya wachezaji kama Said Ndemla wa Singida Big Stars na Salum Abubakary 'Sure Boy' wa Yanga kuonyesha viwango vya hali ya juu katika siku za hivi karibuni. "Kabla ya Mtanzania mwingine kuonesha mpira mkubwa sana eneo la Kiungo...