HAWA NDIO WANANCHIII…WAARABU WASHINDWA KUAMINI…WARUSHA NGUMI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.
SIMBA BILA CHAMA SAWA NA ‘KIBOGOYO’ TU…KIBU DENIS AKAOMBEWE JAMANI…
Ikicheza bila Clatous Chama Simba SC imeambulia pointi moja mbele ya Singida Big Stars 'SBS' mtanange uliofanyika jana jioni katika dimba la Liti Singida. Chama amefungiwa michezo mitatu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani katika mchezo wa Ligi Kuu. Kwa matokeo hayo Simba imeendelea kubaki katika nafasi ya 2 kwa kuwa na...
BAADA YA KUFUNGWA JANA…TUMAINI LA SIMBA QUEENS LIMEBAKIA HAPA SASA…WAKIFELI NI NCHI IMEFELI…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake, Simba Queens imeshindwa kutinga hatua ya fainali ya michuano hiyo baada ya kufungwa bao 1-0 na mabingwa watetezi Mamelodi Sundowns. Mchezo huo wa nusu fainali uliopigwa katika Uwanja wa Prince Heritier Moulay El Hassan ulianza kwa timu zote kushambuliana kwa zamu huku ikiwachukua Mamelodi kujipatia bao lake dakika ya 76...
A-Z YANGA WALIVYOTINGA MAKUNDI CAF KIBABE…MPUNGA WATAKO LIPWA HUU HAPA…
Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga imefuzu hatua ya makundi kwenye michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 ugenini. Yanga ilikuwa wageni wa Club Africain kutokea Tunisia na ilikubali kulala kwa bao 1-0, lilifungwa na kiungo mtaalamu Aziz Ki baada ya kupokea pasi nzuri na straika, Fiston Mayele dakika 79. Ki hakuanza kwenye kikosi cha kwanza...
FT: CLUB AFRICAIN 0-1 YANGA SC….AZIZ KI AANZA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI…
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania bara Timu ya Yanga imetinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 wenyeji club Africain mchezo uliopigwa nchini Tunisia. Shujaa wa Yanga ni kiungo mshambuliaji kutoka nchini Burkana faso akitokea benchi aliipatia bao muhimu timu yake dakika ya 79 Stephane Aziz Ki akimalizia pasi ya Fiston Mayele
STRAIKA LA MABAO SIMBA QUEENS AGOMBANIWA ULAYA…MWENYEWE KAANIKA HAYA…
Mshambuliaji Kikosi cha Simba Queens Oppa Clement amesema hadi sasa hajasikia lolote kuhusu kutakiwa na baadhi ya vilabu vya Soka huko Barani Ulaya, ambavyo vimeripotiwa kuvutiwa na uchezaji wake. Oppa amesema huenda taarifa za yeye kuhitajika barani Ulaya zimeufikia uongozi wake, lakini kwake kama mchezaji hana taarifa hizo na badala yake amejipanga kuisaidia Simba Queens kwenye mchezo wake wa kesho...
FEI TOTO: WACHEZAJI TUNA DENI….
Kiungo Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema wapo tayari kupambana na Club Africain na kupata matokeo yatakayowapeleka Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Young Africans itacheza ugenini Tunis-Tunisia leo Jumatano (Novemba 09) majira ya saa mbili usiku, ikiwa na deni ya kusaka ushindi wa aina yoyote ama sare ya mabao,...
SAA MOJA KABLA YA KUKIPIGA NA WAARABU…MATOKEO YAIBEBA YANGA..NABI AINGIA KININJA…
YANGA ina dakika 90 pekee za kutunza heshima yake kimataifa Jijini Tunis leo saa 1 usiku kwa kupata matokeo ya kufuzu makundi ya Shirikisho watakapocheza na Club Africain katika mechi ya marudiano. Ili Yanga ifuzu inahitaji sare yoyote ya mabao au ishinde mchezo huo baada ya kutoka suluhu Dar es Salaam. Ili kuhakikisha inakabiliana na changamoto ya hali ya...
FT:SINGIDA BIG STAR 1-1 SIMBA SC….KAGERE AMWONEA AIBU INONGA…KIBU MHH…
KLABU ya Simba Sc leo imeingia uwanjani kumefanyana na timu ya Singida Big Star mechi ambayo Simba Sc ikilazimisha sare ya 1-1 baada ya kusawazisha bao kipindi cha pili. Singida Big Star walianza kupata bao kupitia kwa nyota wao Deus Kaseke akipokea krosi kutoka kwa Hamisi Ndamla katika dakika za mwazo kipindi cha kwanza. Mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la...
GSM ATUMIA NJIA YA MO DEWJI YANGA IFUZU MAKUNDI…MASTAA YANGA KULAMBA BINGO NONO…
KUANZIA Saa 2: 00 usiku wa leo, macho yote ya mashabiki yatageukia Tunisia. Yanga itakuwa kwenye Uwanja wa Olimpiki wa Hammedi Agrebi kumalizana na wenyeji wao Club Africain. Juzi walipotua Jiji la Tunis wakakuta rais wao Injinia Hersi Said anawasubiri lakini kuna ahadi nzito wamepewa wachezaji hao kama wakifanya kweli katika mchezo huo. Hersi hakusafiri pamoja na timu hiyo wakati ikifika...