UKWELI MCHUNGU…HIVI NDIVYO PESA ZA GSM ZINAVYOISINZISHA SIMBA KILA WAKIKUTANA NA YANGA…

0
Habari za Simba leo

Nyakati zimekwenda wapi? Ni swali gumu mno kuweza kulijibu kwa sasa. Nyakati zimekwenda kasi sana na Simba sasa amekuwa mteja wa Yanga tena. Inashangaza sana. Tangu kutimia kwa karne ya 21 Simba amekuwa mbabe wa Yanga katika kila eneo. Simba iwe mbovu ama nzuri haikuwahi kusumbuliwa na Yanga katika karne hii ya 21. Kwa nini? Twende taratibu nitakueleza. Simba iliweza kuikamata...

KISA KADI TANO ZA NJANO JANA….TFF WAFUNGUKA ISHU YA SIMBA KUSHUSHIWA RUNGU LA ADHABU…

0

Simba haitaadhibiwa na Bodi ya Ligi kwa wachezaji wake kuonyeshwa kadi tano za njano kwenye Dabi ya Kariakoo. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Sheria, Habari na Masoko wa TFF, Boniface Wambura. Adhabu itatolewa iwapo timu itapata zaidi ya kadi tano za njano. Katika mchezo wa jana Jumapili, Oktoba 23 2022, Derby ya Kariakoo, klabu ya Simba SC imepata kadi za njano...

HAYA HAPA YALIKUWA SEHEMU YA MAAJABU YA MWAMUZI WA YANGA vs SIMBA JANA…

0

Mwamuzi Ramadhan Kayoko jana aliweka rekodi kwa mechi za dabi za hivi karibuni baada ya kugawa jumla ya kadi za njano tisa, wakati Simba na Yanga zilipopambana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Katika mechi hiyo, Kayoko aligawa kadi tano za njano kwa Simba na nyingine nne kwa Yanga katika pambano hilo la 109 katika Ligi ya...

BAADA YA KUONA YANGA NA SIMBA ZILIVYOCHEZA JANA….KMC WAJIPIGAPIGA KIFUANI NAKUUTAKA UBINGWA WA LIGI..

0

Uongozi wa KMC umeweka wazi kuwa unahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ulio mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. KMC chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imekusanya pointi 13 baada ya kucheza mechi 8 za ligi, imeshinda tatu, sare nne na imepoteza mchezo mmoja ikiwa nafasi ya tatu. Christina Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa ubora...

ZA NDAANI KABISA….SIMBA NA AZAM ZATEGEA TAMKO LA YANGA KUHUSU NABI…AKIFUKUZWA TU WANAYE…

0
Habari za Yanga SC

Wakati taarifa zikidai mabosi wa Yanga wanafikiria kufumua benchi lao la ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi, Za Ndaani Kabisa zinasema wenzao Azam FC wanasikilizia maamuzi hayo, ili wambebe Mtunisia huyo. Habari za ndaani Kabisa zinasema kumetokea mgawanyiko ndani ya uongozi wa Yanga wakipinga juu ya hatua ya kuondoshwa kwa kocha wao Nabi ambaye amekalia kuti kavu ikiwa ni siku...

KISA SARE NA YANGA JANA…MGUNDA AIBUKA NA HAYA KWA WCHEZAJI SIMBA….

0
Kocha Msaidizi Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba SC Juma Mgunda, amesema wachezaji walipambana wakati wote wa mchezo dhidi ya watani wao Yanga lakini hatukufanikiwa kupata alama tatu. Mgunda amesema wachezaji walicheza vizuri na walijitoa mpaka tone la mwisho la jasho lakini siku zote mpira una matokeo matatu, ambapo wamepata alama moja hivyo watajipanga kwa mchezo ujao. Mgunda ameongeza kuwa mapungufu yaliyojitokeza kwenye mchezo wa...

SIMBA YAWA ‘KIBOGOYO’ MBELE YA YANGA KWA SIKU 1,345…MANULA AOMBA MSAMAHA MSIMBAZI…

0
Habari za Simba na Yanga

BAO la Aziz KI limeisaidia timu yake kuambulia pointi moja baada ya sare ya bao 1-1 huku ikitimia siku 1,345 bila Simba kupata ushindi kwenye Ligi Kuu dhidi ya watani wao. Mara ya mwisho Simba kupata ushindi mbele ya Yanga Ligi ilikuwa Februari 16, 2019 likikufungwa na Meddie Kagere dakika ya 71 golini akiwa kipa Ramadhan Kabwili. Mabao yote mawili yalifungwa...

OKRAH AMDHALILISHA DIARRA….AZIZ KI AMTESA MANULA…SIMBA WABAKI KILELENI…

0

WAKIWA wenyeji wa Mchezo Mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kutamba mbele ya Simba baada ya kutoshana nguvu ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Mchezo wa watani wa Jadi uliosimamisha nchi kwa dakika 90 uliohudhuriwa na wadau wa mchezo mashabiki wa timu zote mbili uwanja wakipambwa na jezi za...

BONGE LA MECHI…AZIZ KI NA OKRAH WAANDIKA REKODI ….MGUNDA NA NABI BALAH TUPU….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la M wanaspoti la leo Jumatatu.

BAADA YA KUFUNGA ‘TUGOLI TUMOJA’ CHIRWA NAYE AANZA TAMBO ZA UFUNGAJI BORA ETI…

0

Mshambuliaji wa Ihefu, Obrey Chirwa amesema ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi ya Dodoma Jiji umeongeza morali na kwamba kazi ndio imeanza, huku akizungumzia bao na pasi aliyotoa kwenye ushindi huo havimvimbishi kichwa. Ihefu imeshinda mchezo mmoja tu kati ya saba waliyocheza ikitoka sare mbili na kufungwa mechi nne imepanda hadi nafasi ya 14 kutoka kuburuza mkia ikiiacha Polisi iliyokuwa...