BAADA YA KUGUNDUA CHAMA NA PHIRI WAMEAMKA SALAMA LEO…MGUNDA KATIKISA KICHWA KISHA AKASEMA HILI…
Kocha wa Simba, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa ubora wa wachezaji wa timu hiyo ulioonyeshwa katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya De Agosto nchini Angola unawapa matumaini ya kufanya vizuri katika mchezo wao wa nyumbani mbele ya wapinzani wao hao leo Jumapili Katika Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam. Katika mchezo huo wa ugenini wa Ligi ya Mabingwa Afrika,...
NYUMA YA PAZIA….HIVI NDIVYO MGUNDA ANAVYODILI NA KINA MKUDE NDANI YA SIMBA…NI KIMYA KIMYA YANI…
Mashabiki wa Simba wanafurahia mafanikio ya timu yao katika siku za hivi karibuni chini ya Kocha Juma Mgunda, lakini imefichuka kuwa kuna siri kubwa nyuma yake na mastaa hao. Mgunda alikabidhiwa timu Septemba 7, mwaka huu akichukua nafasi ya Mserbia Zoran Maki aliyetimkia Al Ittihad ya Misri na tangu hapo Simba imekuwa ikipata matokeo mazuri. Tofauti na ilivyokuwa chini ya Zoran...
BAADA YA MASHABIKI KUMSIMANGA SAANA…KIBU DENIS AIBUKA NA KUANIKA ‘UCHAWI’ WAKE SIMBA…AFUNGUKA ANAVYOWATEKA MAKOCHA…
Kibu Denis tangu amejiunga na Simba msimu uliopita akitokea Mbeya City amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaopata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza chini ya makocha tofauti waliopita pale Msimbazi na leo amefichua kitu kinachombeba. Kibu alijiunga na Simba, ikiwa chini na kocha Mfaransa Didier Gomes aliyemuamini na kumpa nafasi na baadaye Gomes aliondoka na timu kuwa chini ya Mnyarwanda...
KUHUSU KIWANGO WA DIARRA SIKU HIZI …..MBRAZILI YANGA AANIKA MBIVU NA MBICHI ZOTE….MSHERI ATAJWA….
Kama ulijua Yanga inamtegemea kipa Mmali, Djigui Diarra pekee kwenye mechi zake za kimashindano basi sahau, kwani kocha wa makipa wa Wanajangwani hao Mbrazil Milton Nienov aweka wazi kila mmoja kwenye eneo hilo ana ubora wa kudaka mechi yeyote. Licha ya Diarra kuonekana kudaka mechi nyingi za Yanga akifuatia Aboutwalib Msheri huku Eric Johora akionekana kutokuwa na nafasi, Nienov ameweka...
YANGA WAPAGAWA NA WALIVYOPOKELEWA SUDAN….ALLY KAMWE ASHINDWA KUJIZUIA….AMTAJA INJINI HERSI…
Wakati Al Hilal ikiwa inasifika kwa mashabiki wake kuwa na vurugu dhidi ya wapinzani wanaokwenda kucheza nchini humo hali imekuwa tofauti kwa wawakilishi wa Tanzania, Timu ya Yanga. Yanga ambao walisafiri jana kwenda Sudan kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili wa marudiano kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, walikua na tahadhari zote dhidi ya...
KWA SHOO ZA LEO….LAZIMA WAKAE…NABI AWAAMULIA WASUDAN…WAANGOLA TUMBO JOTO….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumapili.
HAO AZAM FC NAO WANABALAA NYIE….MIPANGO YAO YA KUPINDUA MEZA IMEAKAA KIJASUSI ZAIDI…
Azam inaendelea kujifua kwenye Uwanja wa Azam Complex ikijiandaa na mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku Kocha Lavagne akitamba anaamini vijana wake watapindua meza licha ya aibu waliyiopata ugenini. Ushindi wa mabao 4-0 ndio utaifanya Azam iiondoshe Akhdar na kusonga mbele na kikosi kizima chini ya Kocha Lavagne wanaamini inawezekana na wameweka mipango mikakati ya kupindua meza hiyo...
JAMA JAMA..HAWA WAANGOLA WAMEPANIA AISEE…’CHEKI’ MPUNGA WATAKAO PEWA WACHEZAJI WAO WAKISHINDA KESHO..
Wakati Kikosi cha Primeiro De Agosto kikitarajiwa kushuka uwanjani kesho kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC, Uongozi wa klabu hiyo ya Angola umewaahidi ‘DONGE NONO’ Wachezaji wao endapo watapindua meza na kutinga Hatua ya Makundi. Taarifa kutoka Angola zinadai kuwa, kila mchezaji amehaidiwa zaidi ya milioni kumi ili...
KUELEKEA MECHI YA KESHO….MGUNDA ADUKUA MAJINA YA WAANGOLA WATATU…NI VIFAA TUPU…
Kikosi cha Simba kimeendelea kujifua kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Primeiro de Agosto ya Angola, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda akifanya ujanja flani kwa kuondoka na majina matatu ya wapinzani wao mara baada ya mechi ya ugenini wikiendi iliyopita. Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola...
WAKATI SIMBA NA YANGA ZIKIUMIZA VICHWA….HAYA YA PHIRI NA MAYALE UNAYAJUA..?MAMBO YAO NI KIMYA KIMYA..
Wakati makocha wa Simba na Yanga wakikuna vichwa juu ya mechi za marudiano za raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitakazopigwa wikiendi hii, nyota wa timu hizo Moses Phiri na Fiston Mayele nao wana kazi nzito. Mayele na Phiri ndio vinara wa mabao wa timu hizo, pia wanachuana kwenye orodha ya wakali wa mabao kwa mechi za mchujo...