KISA LIVERPOOL KUSUA SUA EPL….RIO FERDINAND AIBUKA NA HILI KALI YA MWAKA KWAO….

0

Rio Ferdinand ametoa wito kwa Liverpool kukiboresha kikosi chao kufuatia mwanzo wao mbaya wa msimu, lakini anaamini kuwa klabu hiyo inapaswa kuepuka kutumia mbinu ya ‘kutawanyika’ katika soko la usajili. Liverpool wameshinda mechi mbili pekee kati ya nane za mwanzo za ligi msimu huu, na kuwaacha kwa pointi 14 vinara Arsenal. Liverpool waliwalaza Rangers mabao 7-1 kwenye Ligi ya Mabingwa siku...

MECHI KALI WIKI HII, MERIDIANBET WAMEJIPANGA KUTOA MPUNGA….

0

Shughuli itaanzia Ijumaa kwenye epl ni Brentford watakipiga dhidi ya Brighton kwenye raundi ya 11, huku kwenye Ligue 1 raundi ya 11 itawakutanisha Strasbourg watakichafua na Lile halafu sasa Laliga mchezo wa raundi ya 9 itawakutanisha Vallecano dhidi ya Getafe. Meridianbet wamejipanga kumwaga mpunga kwako, tandika jamvi lako. Epl itakuwa na michezo 4 kwa siku ya Jumamosi, Leicester City watakutana...

KUELEKEA MECHI YA AL HILAL vs YANGA….AZAM TV KUONYESHA ‘FIGISU FIGISU’ ZOTE ZA WAARABU…

0

Hatimaye Azam Tv imethibitisha kuonyesha mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Al Hilal na Yanga Jumapili Jijini Khartoum nchini Sudan. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza Saa 3:00 usiku na kuonyeshwa moja kwa moja kupitia chaneli ya AzamSports1HD. Yanga inahitaji ushindi wa ugenini kufuzu Hatua ya makundi baada ya kulazimishwa sare...

PAMOJA NA MOSES PHIRI KUTAKATA KIMATAIFA…FEI TOTO AIBUKA MBABE KWA HILI…ISHU IKO HIVI…

0

Kiungo wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, akiwashinda Washambuliaji Mosses Phiri (Simba SC) na Reliants Lusajo (Namungo FC). Fei Toto ametajwa kuwa mshindi wa Tuzo hiyo, kufuatia maamuzi ya Kikao Kamati ya Tuzo ya TFF kilichokutana mwishoni mwa juma lililopita jijini Dar...

WAKATI AKIWA HAKUBALIKI BONGO….MAMBO YAZIDI KUMNYOOKEA SALAMBA…WAMISRI WAMJAZA MAMILIONI……

0

Nyota wa Tanzania Adam Salamba amesajiliwa na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri kwa mkataba wa miaka miwili. Salamba anajiunga na Ghazl El Mahalla akitokea JS Soura inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria. Salamba amepita vilabu vya Lipuli FC, Simba SC, Al- Jahra na Namungo FC.

YANGA KUINGIA KIVINGINE SUDAN…NABI AKUBALI KUJILIPUA…JAMBO LA MGUNDA LATIKI SIMBA SC..

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.

KUELEKEA MECHI NA WAANGOLA…MO ARUDI RASMI SIMBA…REFA AWAPA JEURI YANGA SUDAN…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.

BAADA YA KUBANJULIWA KWAO…WAANGOLA WAAMUA KUJA BONGO KWA ‘STAILI’ HII MPYA…

0

Wapinzani wa Simba SC kwenye Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Primero de Agosto wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam Ijumaa (Oktoba 14) wakitokea kwao Luanda-Angola, tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Pili utakaopigwa Jumapili (Oktoba 16). Simba SC itakua mwenyeji wa mchezo huo utakaounguruma Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia saa kumi jioni, ikiwa mbele...

WAKATI MASHABIKI WAKIWAZA WAANGOLA…MAGORI ATANGAZA BALAA JIPYA SIMBA…MKAKATI UKO HIVI…

0
Habari za Simba

Majumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori anaamini Kikosi cha klabu hiyo kina nafasi kubwa ya kufikia lengo la kucheza Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23. Simba SC ipo katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo, kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Primero de Agosto ya Angola, huku timu hizo...

KUHUSU MECHI YA WASUDAN NA YANGA…GEFF LEA AWEKA UNAFKI PEMBENI…AIUA YANGA MAPEMAAA….

0

Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Geoffrey Lea ameingia wasiwasi dhidi ya Kikosi cha Young Africans kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Miamba hiyo ya Afrika Mashariki na Kati itakutana Uso kwa Macho Jumapili (Oktoba 16) katika Uwanja wa Al Hilal mjini Khatoum-Sudan saa mbili usiku kwa saa za...