KAMA UNAUNDUGU NA MCHEZAJI WA YANGA…’CHAP HARAKA KAOMBE MSAADA’…WAMELIPWA PESA ZAO KIMYA KIMYA AISEE…

0

Mastaa wa Yanga mambo yao yamenyooka baada ya kujazwa mkwanja kimyakimya na uongozi wa klabu hiyo kabla ya mechi ya juzi usiku.Taarifa za uhakika zinatibitisha kwamba mkwanja huo ambao uliingizwa kwenye akaunti zao Jumatatu jioni ni posho za kumaliza ligi msimu uliopita bila kupoteza mchezo ‘unbeaten’Kiporo hicho kiliibua mzuka kwa wachezaji hao tangu jioni hiyo. Hilo lilijiri saa kadhaa...

KUELEKEA MECHI YA CAF JUMAPILI…MASTAA SIMBA ‘WAPEWA VIDONGE VYAO’….YAWABOTSWANA MSIMU ULIPITA YATAJWA…

0

Klabu ya Simba imetoa shukrani kwa mashabiki na wadau wa timu hiyo waliosafiri nchini Malawi, huku ikiwaomba kujitokeza tena kwenye mechi ya marudiano na Nyasa Big Bullet Septemba 18 katika uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.Simba ikicheza mechi yake ya kwanza ya Ligi ya mabingwa Afrika mkondo wa kwanza hatua ya awali Septemba 10 katika uwanja wa Bingu jijini...

BAADA YA KUONYESHA ‘MANJENJE’ YAO….MAYELE NA PHIRI WATABIRIWA VITA ….LUNYAMILA ATAJA BORA KATI YAO…

0

Mastraika Moses Phiri wa Simba na Fiston Mayele (Yanga) kuna uwezekano mkubwa wakafunga mabao mengi msimu huu, kutokana na kasi waliyoanza nayo kwenye mashindano mbalimbali.Nje na mechi za kirafiki ambazo timu zao zilicheza zikijiandaa na msimu mpya, Mayele amehusika katika mabao manane kwenye mechi tano za michuano yote akifunga saba na asisti moja katika Ngao ya Jamii (mabao mawili)...

YANGA SASA INAUZA ULAYA TU…MARSEILLE YA UFARANSA YATUA KWA STAA WAO…KOCHA MPYA ASHIKILIA HATMA YA MGUNDA….

0

 Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaaa.

YANGA SC WASHTUA AFRIKA,…REKOI YAO YAWA GUMZO…MGUNDA AOMBEWA KIBALI TENA SIMBA SC…

0

 Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaaa.

RATIBA LIGI KUU YAANZA ‘KUTIKISWA TIKISWA’…TPLB WATOA ‘KAMKEKA’ KAFUPI CHA MABADILIKO…SHOW ZIKO HIVI SASA..

0

Bodi ya Ligi Kuu ‘TPLB’ imefanya mabadiko ya ratiba ya Michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 2022/23 ambayo ilipangwa kuchezwa Septemba 16 na 17, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salam.Timu zilizoguswa na mabadiliko hayo ya ratiba ni Ruvu Shooting ya Mkoani Pwani, Polisi Tanzania ya Mkoani Kilimanjaro, Ihefu FC kutoka Mbeya na KMC FC...

ISHU YA UWEZO WA FEI TOTO NA SIASA ZA ZNZ ZAMFANYA EDO KUMWEMBE KUIBUKA NA MADAI HAYA MAZITO…

0

Edo Kumwembe/MwanaSpotiFei Toto akifunga bao, popote anapocheza huwa nasikitika kidogo. Iwe katika jezi ya Yanga ambayo ameifungia mara nyingi, au Taifa Stars ambayo huwa anaifungia mara chache. Inanikumbusha mambo mengi.Majuzi alifunga bao zuri dhidi ya Zalan ya Sudan Kusini. Fei anafurahia soka. Hachezi soka kwa hasira. Anajua mpira. Anacheza kwa umaridadi mkubwa lakini zaidi anaweza kuwa kiungo mshambuliaji anayefunga...

WAARABU WAIPA SHAVU TAIFA STARS….YAALIKWA MICHUNAO MAALUMU YA FIFA…WABABE WETU UGANDA NAO NDANI…

0

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Jumamosi Septemba 17 itaingia kambini kwa maandalizi ya mechi tatu za kirafiki kimataifa dhidi ya Libya na Uganda.Mechi hizo zote zitachezwa Libya ambako Taifa Stars na Uganda zimepata mwaliko mwalumu ikiwa ni maandalizi ya mechi zijazo za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (AFCON).Baada ya kuanza kambi Dar es salaam itakayodumu...

ODDS KUBWA GEMU ZA UCL NA EFL KUTOKA MERIDIANBET KUELEKEA WIKENDI…!

0

Kuelekea wikiendi, timu nyingi Ulaya leo zina vibarua vya Ligi, tumekuwekea hapa baadhi ya gemu zinazokupa mkwanja poa kwa ajili ya wikiendi yako. Sherrif akiwa anaongoza Kundi E la Ligi ya Europa atakuwa anasaka kumkosesha zaidi usingizi Man United. United atawekeza jithada zake kuepuka aibu baada ya kupoteza gemu iliyopita. Meridianbet wameipa uzito gemu hii na kuipa odds za...

PAMOJA NA SIMBA KUSHINDA JANA …INJIA HERSI AVUNJA UKIMYA KUHUSU YANGA YAKE….ADAI BADO SANA …

0

Rais wa Yanga, injinia Hersi Said amesema anafahamu ligi ni ngumu msimu huu lakini wana ubora mkubwa tofauti na timu zingine na sasa gari ni kama limewaka ndani na nje.Hersi amesema kuwa wakiziangalia timu zingine kisha kulinganisha na kikosi chao ni kwamba Yanga haikupoteza uti wa mgongo wa kikosi chao kwa kuwabakisha mastaa wao wote waliofanya vizuri msimu uliopita."Tathimini...