FT: TZ PRISONS 0-1 SIMBA SC….MKUDE AWAFANYIA ‘UNUNGUNUNGU’ ASKARI MAGEREZA…ONYANGO AKIRI KUOMBA KUSEPA …
JONAS Mkude, kiungo wa kazi ndani ya Simba amepachika bao pekee la ushindi mbele ya Tanzania Prisons dakika ya 85 na kuipa pointi tatu muhimu.Ulikuwa ni mchezo huru kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kwa kila timu kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza katika kusaka ushindi.Dakika 45 zilikuwa ngumu kwa timu zote mbili kupata bao ambapo umakini wa kipa...
KUELEKEA MECHI YA CAF….MINZIRO NA GEITA YAKE WATAMANI ‘SHAZI’ LA SIMBA CHAMAZI…WAFUNGUKA HAYA MAPYA…
Kocha Mkuu wa Geita Gold FC Fred Felix Minziro ameahidi kuyafanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza kwenye mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Hilal al-Sahil SC ya Sudan.Geita Gold FC ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa 1-0 Jumapili (Septemba 11), ikiwa ugenini Mjini Omdurman-Sudan hali ambayo imeifanya klabu hiyo ya Geita kuwa na deni la...
MAREKANI WAJITOSA KUANDAA KOMBE LA DUNIA…REAL MADRID KUKIPIGA DHIDI YA WABABE WA AL AHLY YA MISRI…
Marekani imeingia kwenye kinyanganyiro cha kuandaa mashindano ya FIFA Club World Cup 2023, baada ya kutoafikiana makubaliano na nchi ambazo walipewa nafasi ya kuandaa mashindano hayo ambayo ni Abu Dhabi na China.FIFA bado hawajathibitisha ikiwa mashindano yataendelea kama yalivyopangwa, huku mashindano hayo yakitarajiwa kufanyika ndani ya mwezi February, ambapo ndio tamaduni ya msahindano hayo hufanyika huku yakijumusiha bingwa wa...
A-Z JINSI MKUU WA MKOA DAR ALIVYOOKOA UJENZI UWANJA WA SIMBA…APIGA BITI LA KUBOMOA NDANI YA SIKU 60…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla leo Jumatano (Septemba 14) amemaliza mgogoro wa Ardhi katika kiwanja namba 229 Kinachomilikiwa na Simba SC maeneo ya Bunju B Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.RC Makalla baada ya kuzuru eneo la kiwanja alipata wasaa wa kujionea mipaka na Wananchi takribani 9 ambao wamevamia na kujenga katika eneo hilo.Aidha...
KIWANGO CHA SIMBA YA MGUNDA CHAWASHTUA WAKONGWE…KIBADENI AVUNJA UKIMYA …AFUNGUKA MSIMAMO WAKE…
Mastaa wa zamani wa Simba, wamesema Simba ya sasa ni moto mkali na hii ni kutokana na nyota wake kubadili upepo kutoka kukejeliwa hadi kuwa mashujaa baada ya juzi kushinda ugenini dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Kipa aliyezidakia Yanga, Simba na Mtibwa Sugar, Steven Nemes alisema kitendo cha timu hiyo kutoka sare ya...
DUH…UNAAMBIWA ILIBAKI HIVI TU…HUYU KOCHA WA ZAMAN WA SIMBA ARUDI TENA BONGO MSIMU HUU…
Jana Coastal Union imemtambulisha Mkenya, Yusuf Chipo kuwa kocha mkuu wake kwa mkataba wa mwaka mmoja akichukua mikoba ya Juma Mgunda aliyetimkia Simba lakini nyuma ya dili hilo kukiwa na sinema ya aina yake.Awali Uongozi wa Coastal ulifanya mazungumzo na aliyewahi kuwa kocha wa Simba, Mserbia Goran Kopunovic ili kuja kuwanoa Wana Mangushi na kukubaliana kumshusha tena Bongo lakini...
KURUDI KWA ONYANGO…MZIKI UMETIMIA SIMBA…MGUNDA ATAMBA , PRISONS WACHEKA..MAYELE ,AZIZI KI WATISHA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.
HUU HAPA UKWELI WOTE KUHUSU ULE UJENZI WA UWANJA MPYA DODOMA…
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul ameeleza kuwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu jijini Dodoma upo katika hatua ya utekelezaji na tayari Serikali imeshaanza kutenga fedha za ujenzi huo.Mhe. Gekul ameeleza hayo jana Septemba 13, 2022 Bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge Mhe. Innocent Edward Kalogeris (Morogoro Kusini) aliyeuliza ni lini...
SAKATA LA KUTOKUWA NA CHETI….NABI AWALIPUA WANAOMSIMANGA…AWATAJIA KLOPP NA ANCELOTI…
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amecheka sana baada ya kusikia na kukutana na maswali juu ya taaluma yake ya ukocha, akidaiwa hana vigezo vya kukaa benchi la timu hiyo kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan ya Sudan Kusini, kisha akatoa kauli ya kibabe.Nabi alisema, kiwango chake cha taaluma hiyo sio kinamruhusu kuinoa Yanga...
ACHANA NA KINA TSHABALALA, MWAMNYETO NA MKUDE….HAWA HAPA MASTAA WENGINE MAARUFU WALIOTEMWA STARS….
Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hanoor Janza ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mechi za kirafiki zilizopo kwenye kalenda ya FIFA akiwatema Bakari Mwamnyeto na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’.Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hanoor Janza ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mechi...