Uncategorized
MANCHESTER UNITED WATAJA DAU LA POGBA
MANCHESTER United wamekubali kwa sasa mambo yaishe kwa kiungo ,Paul Pogba ambaye ameomba kusepa ndani ya kikosi hicho.
United wamenyoosha mikono baada ya kuamua kutangaza dau la kumuuza mchezaji huyo ambaye anatajwa kujiunga na Real Madrid ama Juventus.
United imesema kuwa dau la mchezaji huyo kwa timu inayotaka huduma yake inapaswa iangushe mezani kiasi cha pauni milioni 150 kupata saini yake.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.