PAMOJA NA USHINDI WA GOLI 4-0 JUZI…NABI AFURA KWA HASIRA NAMNA MAYELE NA AZIZI KI WALIVYOCHEZA….
Yanga juzi jioni ilipata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Zalan ya Sudan Kusini katika mecchi ya kwanza ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ikishuhudia Fiston Mayele akiweka rekodi kwa kufunga hat trick, ila kocha Nasreddine Nabi amegeuka mbogo na kuwapiga mkwara nyota wake.Nabi amewajia juu nyota wake hao akitaka wajitathimini haraka kabla ya mechi...
NABI ALIA NA KOSA KOSA ZA KINA MAYELE YANGA….AMBUNDO ANYOOSHEWA KIDOLE….NKANE AANZA KUINGIA INGIA…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amesema ana kazi kubwa ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji hasa katika michezo ya kimataifa katika hatua zinazofuata za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, CAF.Kauli hiyo aliitoa juzi, Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam baada ya kupata ushindi wa mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Zalan FC katika mchezo wa awali...
UMEWAHI KUOTA NDOTO BORA? HII INAKUHUSU KUTOKA KASINO YA MERIDIANBET….!
Wabobezi wa mambo wanasema unaweza kuifanya ndoto yako kuwa kweli. Kama umeota ndoto nyingi ambazo haijawa kweli, bila shaka unafaa kuanza kupanga vyema mipango yako ya ndoto, na kubadilisha vipaumbele – ndoto za ushindi ni mipango. Twende na hii; Umewahi kuota ndoto ukifurahia kuona wanyama mbugani? Au ukipiga mbizi kwenye fukwe bora duniani, au labda kutembelea miji ya kifahari?...
BAADA YA KUTUA TZ…MGUNDA AWEKA WAZI HATMA YAKE SIMBA…MISHAHARA YANGA NI KUFURU …GSM WAONGEZA MZUKA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Jumanne.
SHABIKI WA SIMBA ALAMBA MAMILIONI JACKPOT YA M-BET….ALIKUWA HAJUI JINSI YA KUBET…
SHABIKI wa Klabu ya Simba anayeishi mkoani Arusha, Joseph Marwa, ameshinda Sh. 60,321,350 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa Kampuni ya M-Bet.Marwa ambaye ni mjasiriamali, alisema awali hakuwa na imani na michezo ya kubashiri kabisa mpaka alipofuatwa kukopwa fedha ya nauli na mmoja wa washindi Kampuni ya M-bet.Alisema...
HIVI NDIVYO STAA WA EPL ANAVYOIKAMUA YANGA MAMILIONI YA PESA….KWA WIKI ANANYONYA ZAIDI YA MIL 4….
Imebainika kuwa, kiungo wa Yanga, Mrundi, Gael Bigirimana, alijiunga na timu hiyo kwa dau lililotajwa kuwa ni dola 85,000 ambazo ni sawa na Sh 197,452,450 za Kitanzania na kumfanya kuwa miongoni mwa nyota ghali kikosini hapo.Kiungo huyo wa zamani wa Newcastle ya England, amejiunga na Yanga msimu huu kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru baada ya kuachana...
ACHANA NA SAKATA LA KISINDA ‘KUBANIWA KUCHEZA’…HAYA HAPA MAAJABU MENGINE YALIYOBAMBA KWENYE USAJILI BONGO…
JAPOKUWA ishu ya mjini kwa sasa ni usajili wa winga wa Yanga, aliyechukuliwa kwa mkopo kutoka RS Berkane ambako Wanajangwani hao walimuuza baada ya kumaliza msimu wa 2020/21, akiwa kwenye kiwango cha juu.Baada ya usajili wake kumetokea sintofahamu kati ya Yanga na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mchezaji huyo kuonekana kama itakuwa ngumu kucheza Ligi Kuu Bara.Ukiachana na hilo...
PAMOJA NA MGUNDA KUANZA VIZURI SIMBA…BARBARA AISHINDWA KUJIZUIA…AANIKA YA MOYONI KUHUSU NAFASI YAKE…
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, ameonyesha kufurahia ushindi wa mabao 2-0 kwenye mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi timu yake ikiwa ugenini baada ya kueleza kuwa kazi haijaisha, huku Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez akiwasifu makocha wazawa kwa kuiongoza vema timu hiyo.Mbali na hayo, straika...
MIEZI MIWILI KABLA YA KOMBE LA DUNIA….HAWA HAPA MASTAA 10 AMBAO ITAKUWA MARA YAO YA MWISHO KUCHEZA SOKA…
Kombe la Dunia la FIFA la 2022 liko karibu kabisa. Tumebakiza miezi miwili kabla ya mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo makubwa zaidi yanayofanyika kila baada ya miaka minne kuanza.Kombe la Dunia bila shaka ni tukio kubwa zaidi la soka duniani na ni ndoto ya kila mchezaji kuwakilisha taifa lake.Ni timu bora pekee duniani ambazo zimefuzu kwa Kombe la...
KUELEKEA MECHI YAO NA SIMBA…TZ PRISONS WALAMBA SHAVU LA MKATABA MNONO WA MAMILIONI YA PESA…
Klabu ya Tanzania Prisons imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya kimataifa ya Silent Ocean ambao unalenga kuijenga zaidi klabu hiyo.Mkataba huo utaisaidia Prisons katika chakula na usafiri, pia una kipengele cha kuongeza muda endapo makubaliano ya kimkataba yatafanikiwa kwa pande zote mbili.Prisons inapata mkataba huo ikiwa imesalia siku moja kabla ya kuwakaribisha Simba nyumbani katika Uwanja wa...