PAMOJA NA MGUNDA KUANZA VIZURI SIMBA…BARBARA AISHINDWA KUJIZUIA…AANIKA YA MOYONI KUHUSU NAFASI YAKE…
KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, ameonyesha kufurahia ushindi wa mabao 2-0 kwenye mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi timu yake ikiwa ugenini baada ya kueleza kuwa kazi haijaisha, huku Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez akiwasifu makocha wazawa kwa kuiongoza vema timu hiyo.Mbali na hayo, straika...
MIEZI MIWILI KABLA YA KOMBE LA DUNIA….HAWA HAPA MASTAA 10 AMBAO ITAKUWA MARA YAO YA MWISHO KUCHEZA SOKA…
Kombe la Dunia la FIFA la 2022 liko karibu kabisa. Tumebakiza miezi miwili kabla ya mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo makubwa zaidi yanayofanyika kila baada ya miaka minne kuanza.Kombe la Dunia bila shaka ni tukio kubwa zaidi la soka duniani na ni ndoto ya kila mchezaji kuwakilisha taifa lake.Ni timu bora pekee duniani ambazo zimefuzu kwa Kombe la...
KUELEKEA MECHI YAO NA SIMBA…TZ PRISONS WALAMBA SHAVU LA MKATABA MNONO WA MAMILIONI YA PESA…
Klabu ya Tanzania Prisons imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya kimataifa ya Silent Ocean ambao unalenga kuijenga zaidi klabu hiyo.Mkataba huo utaisaidia Prisons katika chakula na usafiri, pia una kipengele cha kuongeza muda endapo makubaliano ya kimkataba yatafanikiwa kwa pande zote mbili.Prisons inapata mkataba huo ikiwa imesalia siku moja kabla ya kuwakaribisha Simba nyumbani katika Uwanja wa...
EHE…KUMBE ULAYA NAKO KAMA AFRIKA TU….TUCHEL AVUNJA UKIMYA KUFUKUZWA CHELSEA…AFUNGUKA ILIVYOMUUMA…
Siku chache baada ya kuondoka Chelsea FC, aliyekua Meneja wa Klabu hiyo ya jijini London Thomas Tuchel amefunguka kwa mara ya kwanza na kueleza alivyosikitishwa na maamuzi hayo.Tayari Chelsea imeshamtangaza Graham Potter aliyekua anaitumikia klabu ya Brighton and Holve Albion kurithi mikoba ya Tuchel raia wa Ujerumani.Tuchel amesema ameumizwa na kushangazwa na kitendo cha mabosi wa The Blues, kumtimua...
ACHANA NA STORI ZA KIJIWENI…HUU HAPA UKWELI KUHUSU THAMANI HALISI YA MKATABA MPYA WA GSM NA YANGA…
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said leo Jumatatu (Septemba 12), amesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya GSM wenye thamani ya Shilingi Bilioni 10.9 kwa miaka mitano.Mkataba huo uliogawanyika sehemu mbili utahusisha, mkataba wa kwanza wa uzalishaji na usambazaji wa jezi pamoja na bidhaa mbalimbali za klabu hiyo Kongwe katika Ukanda wa Afrika...
KUELEKEA MECHI NA YANGA KESHO….MTIBWA SUGAR WAAMUA KUJA NA ‘MZUKA WA KILUGURU’ KWA MKAPA…WAAPA KUTIBUA …
Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar Awadh Juma amesema kikosi chao kimewasili salama jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Young Africans.Kesho Jumanne (Septemba 13) Young Africans itakuwa wenyeji wa mchezo huo Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku ikiendelea kujidaia rekodi ya kutopoteza mchezo wa Ligi Kuu tangu msimu uliopita.Awadh Juma...
EDO KUMWEMBE :- MATOLA YUKO KWA MASLAHI YA MABOSI WA SIMBA…NI KOSA LA MUDA MREFU SANA…
Mchambuzi wa Soka la Bongo Edo Kumwembe ameweka wazi ufahamu wake kuhusu uwepo wa Kocha Msaidizi wa Simba SC Seleman Matola ambaye juma lililopita alipata changamoto ya kushinikizwa kujiuzulu, kufautia matokeo ya 2-2 dhidi ya KMC FC.Edo Kumwebwe ambaye pia ni Mwandishi wa Habari Mwandamizi ameweka wazi hilo kupitia Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM leo Jumatatu (Septemba...
UKWELI MCHUNGU….TABIA HIZI ANAZOZIFANYA MORRISON IPO SIKU ZITAIGHARIMU PAKUBWA YANGA…SHTUKENI AISEE…
BERNARD Morrison. Fundi mmoja wa mpira pale Yanga. Anajua sana soka huyu mwamba kutoka Ghana.Ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira. Ana kasi na uwezo mkubwa wa kupiga chenga. Ni fundi kweli kweli.Kuna nyakati Morrison anaweza kuamua mechi peke yake. Anajua kuwahadaa mabeki na kuwafanya anachojisikia. Mfano namna alivyoangushwa dhidi ya Azam na kuipatia timu yake penalti waliyokosa. Akili kubwa...
IMEISHA HIYO…’NINJA’ SASA NI MALI YA DODOMA JIJI…ISHU YAKE YAPELEKWA KIMYA KIMYA MPKA KUFIKIA HAPA…
Beki wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ rasmi sasa yupo tayari kuitumikia Dodoma Jiji kwa mkopo.Ninja anayemudu kucheza namba tano ama sita hakuwa na nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha Kocha Nasreddine Nabi na mara nyingi aliwatumia Bakar Mwamnyeto, Dickson Job ama Yannick Bangala.Beki huyo aliyewahi kucheza soka la kulipwa nchini Marekani katika klabu ya La Galaxy, Julai...
BAADA YA KUPASULIWA JUZI…WAMALAWI WAAMUA KUTUMIA MBINU YA JWANENG KUIZUIBAISHA SIMBA MECHI YA PILI..
Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa nchini Malawi ya Nyasa Big Bullets Callisto Pasuwa ni kama ameamua kutumia mbini waliyoitumia wale wabotswana Jwaneng Galax walioitoa Simba Msimu uliopita, ambapo amenukuliwa akisema kuwa amekata tamaa kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Hatua ya Awali (Ligi ya Mabigwa Barani Afrika) dhidi ya Simba SC ya Tanzania.Big Bullets ilipoteza mchezo wa Mkondo...