Home Uncategorized NYOTA WA MWADUI ANAYEWINDWA NA YANGA KUTIMKIA ULAYA

NYOTA WA MWADUI ANAYEWINDWA NA YANGA KUTIMKIA ULAYA


NYOTA wa kikosi cha Mwadui FC, Salum Aiyee mambo yamezidi kumyokea kwake ambapo imeelezwa kuwa kwa sasa amewekwa kwenye mawindo na timu kama tano za Ulaya ambazo zinahitaji saini yake.

Kwa sasa Aiyee amemaliza mkataba na Mwadui anaskilizia ofa ya Yanga ambayo ipo mkononi mwake baada ya kuwaambia kwamba wampe mkwanja wa kutosha.

Habari kutoka kwa mtu wake wa karibu zimeeleza kuwa kwa sasa Aiyee anaweza kuondoka muda wowote kuelekea nchini Sweden kufanya majaribio kwenye moja ya timu ambayo inamhitaji.

SOMA NA HII  BEKI SIMBA AWAOMBA WATANZANIA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA