Kikosi cha timu ya Taifa kimeweka kambi yake ndhini Misri, katika wachezaji 32 waliosafiri na timu iltakiwa wabaki wachezaji 23 tu kwaajili ya mipango ya AFCON.
Kandanda imepata orodha ya wachezaji wanaobaki hawa hapa:
Magolikipa
1-Aishi Manula (Simba SC)
2-Metacha Mnata (Mbao)
3-Aron Kalambo (Tz Prisons)
4-Seleman Salula (Malindi)
5-Claryo Boniface (U20)
Mabeki
6-Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
7-Vicent Philipo (Mbao)
8-Gadiel Michael (Yanga)
9-Mohamed Hussein (Simba)
10-Ally Sonso (Lipuli)
11-Erasto Nyoni (Simba)
12-Kelvin Yondani (Yanga)
13-David Mwantika (Azam) -Ameondolewa
14-Agrey Moris (Azam)
15-Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini) -Ameondolewa
Viungo
16-Himid Mao (Petrojet, Misri)
17-Mudathir Yahya (Azam)
18-Feisal Salum (Yanga)
19-Fred Tangalu (Lipuli) -Ameondolewa
20-Frank Domayo (Azam)
Winga
21-Saimon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco)
22-Shiza Kichuya (ENPPI, Misri) -Ameondolewa
23-Farid Mussa (Tenerife, Hispania)
24-Miraji Athumani (Lipuli) -Ameondolewa
25-Yahya Zayd (Ismaily, Misri)
Washambuliaji
26-Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria)
27-Shaban idd Chulunda (Tenerife, Hispania)
28-John Bocco (Simba)
29-Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)
30-Kelvin John (U17) -Ameondolewa
31-Rashid Mandawa (BDF, Botswana)
32-Adi Yussuf (Blackpool, England)- Ameondolewa
The post Adi,Banda na kichuya miongoni wa walioachwa appeared first on Kandanda.