PAMOJA NA KUSAJILIWA AZAM FC MSIMU HUU…KIPA MFARANSA AINGIA TAMAA NA YANGA…AFUNGUKA A-Z ANAVYOITAKA …
Zimebaki siku mbili Azam FC iingie uwanjani kucheza mechi ya mzunguko wa tatu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya mabingwa watetezi Yanga huku kipa mpya wa timu hiyo Ali Ahmada akifunguka kuitamani mechi hiyo ili aonesheshe makali yake.Ahmada mwenye uraia pacha wa Ufaransa na Comoro akiwa na wasifu mkubwa wa kucheza timu mbalimbali barani ulaya ikiwemo timu ya taifa...
BAADA YA KUFANYA KAZI NZURI TOKA KUANZA KWA MSIMU…CHAMA AKABIDHIWA UFALME SIMBA…MASHABIKI WAMPITISHA….
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Clatous Chotta Chama ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month) wa Simba SC kwa mwezi Agosti, 2022.Chama ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo, baada ya kuwashinda kwa Kura viungo wenzake Pape Sakho (Senegal) na Sadio Kanoute (Mali) ambao aliingianao Fainali kwenye kinyang’anyiro hicho.Majina ya wachezaji hao...
MWAKINYO AFUNGUKA ALICHOPEWA KABLA YA PAMBANO KIKAMPONZA….AIKATAA TKO YA SMITH…
Bondia wa kimataifa kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo 'Champeez' amepoteza pambano dhidi ya Liam Smith baada ya kupigwa kwa TKO.Pambano hilo lililokuwa na mizunguko 12 limeishia mzunguko wa 4 baada ya Mwakinyo kupiga goti wakati pambano likiendelea.Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Liam Smith, Bondia Hassan Mwakinyo ameelezea kilichotokea huku akisema yupo tayari kurudiana na mpinzani wakeAmesema alipoteza begi...
ISHU YA KISINDA NA YANGA YAMUIBUA MAYELE PIA…AKUMBUSHIA MAMBO YA AS VITA …
Kisinda kaja? Nitafunga sana. Hivyo ndivyo alivyoanza kusema straika wa mabao wa Yanga, Fiston Mayele akizungumzia juu ya usajili wa nyota mpya wa timu hiyo, winga Tuisila Kisinda.Mayele ameweka wazi kuwa amefurahishwa na ujio wa winga huyo ndani ya Yanga kutokana na uwezo wake wa kutengeneza mashambulizi kupitia pembeni.Kabla ya wawili hao kukutana ndani ya Yanga msimu huu walishawahi...
MANARA : WAZUNGU HAWAWEZI KUHANGAIKA NA “MVUNJA KUNI” MWAKINYO….YEYE NI KAMA CHALE TU..HANA MAAJABU…
Juzi, Septemba 3, 2022 Bondia Mtanzania, Hassan Mwakinyo alipoteza pambano dhidi ya Bondia Muingereza, Liam Smith kwa TKO raundi ya 4 katika pambano lenye raundi 12.Mwakinyo alianza pambano vizuri na wakati likiendelea alionekana kuumia mguu kiasi cha Muamuzi kusimamisha pambano ambalo kabla ya round ya nne kumalizika Mwakinyo alionekana kapiga goti chini.Baada ya pambano hilo kumalizika Mwakinyo alijirekodi video...
TFF WAMPIGA STOP KISINDA JANGWANI….YANGA WACHARUKA..KAMBOLE ATAJWA..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
MITEGO YA AZAMF FC YAMSHTUA NABI….ATUMIA AKILI KUBWA KUITEGUA..KESHO NI ZAIDI YA ‘MPAPATUKO’…
WAKATI zikiwa zimesalia siku moja kabla ya Dabi ya Dar es Salaam ipigwe, Kocha Mkuu wa Yanga Mtunisia Nasreddine Nabi ameshitukia mitego ya wapinzani wao Azam FC na kuifyatua.Dabi hiyo ya Dar es Salaam inayotarajiwa kuwakutanisha Yanga dhidi ya Azam inatarajiwa kupigwa Septemba 6, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zote mbili hivi sasa...
IMEFICHUKAAA…HIVI NDIVYO DILI LA KUMSAJILI KISINDA LILIVYOITAFUNIA YANGA MAMILIONI YA PESA…
IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 350Mil kumrejesha winga wake Mkongomani, Tuisila Kisinda kutokea RS Berkane ya Morocco ambapo alikuwa akicheza.Yanga imempa mkataba wa miaka miwili winga huyo raia wa DR Congo kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika msimu huu.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mmoja wa mabosi wa thiyo kiungo huyo amekubali kurejea kukipiga Yanga mara...
HUKU LIGI IKIRUDI…MABOSI SIMBA WACHARUKA..WAITANA FASTA…YANGA WAFUNGUKA USAJILI WA KISINDA…..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu.
SIMBA WAFUNGUKA JINSI MAREHEM DK GEMBE ALIVYOCHANGIA MAFANIKO YAO …MASTAA WAKUBWA WAMUAGA..
PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Simba ameweka wazi kuwa mafanikio ya timu hiyo huwezi kuyataja na kumuweka pembeni Dk Yassin Gembe.Gembe alitangulia mbele za haki Septemba 2,2022 ambapo taarifa ilitolewa na uongozi wa Simba ilieleza Gembe aliyekuwa daktari wa timu ya wanaume (Senior Team) kilitokea kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Leo Septemba 4, imefanyika ibada ya kumuaga Gembe ambapo wachezaji...