BONDIA ANDY RUIZ JR ASHINDA KWA POINTI
BONDIA ambaye ni bingwa wa zamani wa uzito wa juu Andy Ruiz Jr amenusurika kupoteza pambano kwa K.O ya mapema dhidi ya…
Browse all posts in this category.
BONDIA ambaye ni bingwa wa zamani wa uzito wa juu Andy Ruiz Jr amenusurika kupoteza pambano kwa K.O ya mapema dhidi ya…
BONDIA Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama Bondia Mrembo zaidi…
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize leo Aprili 23, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa Attitude aliowashirikisha wwanamuziki wa…
RAYVANNY hajui kwa nini anagombana na Harmonize. Na bahati mbaya wanaojua sababu wamegoma kumwambia. Wako kimya. Ni kama ametupiwa jezi kucheza mchezo asioujua. Rayvanny sio mtu wa matukio. Ni miongoni mwa…
MABONDIA wa ngumi za kulipwa Halima Vunjabei na Zulfa Macho kila mmoja ametamba kumchakaza mwenzake leo Jumamapili katika pambano la Queen…
RAPA wa Marekani, Earl Simmons maarufu kama DMX amefariki dunia Aprili 9, 2021 jijini New York akiwa na umri wa miaka 50.…
Ukurasa rasmi wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) kwa ajili ya Kombe ya Kombe la Dunia, limemfollow msanii nyota wa…
RUTHA Bushoke, msanii wa muziki wa kizazi kipya amesema kuwa Rais John Magufuli alikuwa ni mtetezi wa wanyonge hivyo kifo chake kimewaachia…
WAKATI bondia Hassan Mwakinyo atapanda ulingoni Machi 26 kuwania ubingwa wa Afrika (ABU) wa uzito wa Superwelter dhidi ya bondia Mzimbabwe, Brendon Denes,…
MSANII wa muziki wa Hip Hop, mkongwe Chidi Beenz amesema kuwa zama zile alipokuwa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya jambo moja…
MWANAMUZIKI Diamond Platinumz, leo Januari 19, ameitisha mkutano na wanahabari katika ofisi zake zilizopo Mbezi jijini Dar.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download…
Kuna usemi wa vijana kwamba maisha hayana formula.Hii imejidhihirisha kwa kijana Raphael ambaye ameibuka mshindi wa milioni 113.7 kutoka M-Bet na…