Home Burudani HARMONIZE FT AWILO LONGOMBA & H BABA – ATTITUDE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) Burudani HARMONIZE FT AWILO LONGOMBA & H BABA – ATTITUDE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) By admin - April 24, 2021 0 Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize leo Aprili 23, 2021 ameachia video ya wimbo wake wa Attitude aliowashirikisha wwanamuziki wa Kongo, Awilo Longombana na msanii wa muziki wa Bongo Bolingo, Hamis Ramadhani maarufu kwa jina la H. Baba.