BAADA YA KUTUA CHATO…KMC WATEMBELEA KABURI LA MAGUFULI…WAWEKA HISTORIA YA MAPOKEZI…
Wachezaji, Viongozi pamoja na Benchi la ufundi KMC FC leo wamezuru katika kaburi la hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli nyumbani kwake…
Browse all posts in this category.
Wachezaji, Viongozi pamoja na Benchi la ufundi KMC FC leo wamezuru katika kaburi la hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli nyumbani kwake…
Kocha Pablo Franco ameanza kujiandaa mapema kuziba pengo la mshambuliaji wake Benard Morrison katika mchezo wao ujao wa robo fainali ya kombe…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Ahmed Ally amezitaka klabu za Young Africans na Azam…
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar Francis Baraza ameelezea kiu yake ya kuipeleka Kagera Sugar kwenye michuano ya Kimataifa msimu ujao wa 2022/23.…
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Ismail Aden Rage amewataka wachezaji wa klabu hiyo kuwa makini…
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa STars’ Kim Poulsen amewataka Watanzania kuwa na imani na timu yao, licha ya…
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Timu ya Simba…
Klabu ya soka ya Manchester United imemtambulisha kocha wa sasa wa Ajax ya nchini Uholanzi Erik Ten Haag kama kocha wao mkuu…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, Barbara Gonzalez ametangulia Afrika Kusini, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa…
BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainal ya Kombe la Shirikisho…
MAKOCHA wa Simba na Yanga, kwa sasa wanapigia hesabu mechi zilizopo mbele yao, huku jicho zaidi likitupiwa Aprili 30, mwaka huu…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Yanga Boniface Ambani amemshauri mchezaji wa Yanga na straika tegemeo wa timu hiyo Fiston Mayele kutobweteka…