TENGENEZA JAMVI LAKO LA USHINDI KUPITIA MERIDIANBET
Jumatano ya ushindi na Meridianbet imefika, Timu zote zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya UEFA mkondo wa…
Browse all posts in this category.
Jumatano ya ushindi na Meridianbet imefika, Timu zote zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya UEFA mkondo wa…
KLABUĀ ya Yanga imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameanza kutekeleza mkakati maalum wa kuhakikisha timu yake inapata ushindi mapema kwa kufunga angalau mabao…
MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Clement Mzize, hayupo nchini baada ya kusafiri kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi kufuatia kujitonesha tena…
MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Jonathan Sowah, ameondolewa kwenye kikosi kilichopo kambini kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji FC,…
KIUNGO wa Simba SC, Neo Maema, amesisitiza kuwa mafanikio ya timu hayategemei mchezaji mmoja pekee, bali mshikamano na umoja wa kikosi kizima.…
BEKI wa kulia kinda wa timu ya vijana ya Yanga U-20, Isaack Mtengwa amejiunga na TRA United iliyopo Ligi Kuu kwa kwa…
SIMBA SC imeweka wazi kuwa kwa sasa fikra zake ziko kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji FC, huku Kariakoo Derby…
Ndani ya Meridianbet, sherehe ya Halloween inaendelea kwa nguvu kupitia Gates of Halloween, mchezo wa kasino mtandaoni unaokuingiza kwenye ulimwengu wa kusisimua…
OFISA Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amewatumia onyo kali watani wao Simba SC, akieleza kuwa mshambuliaji wao mpya hatari, Laurindo Dilson…
Mechi za ligi ya Mabingwa Ulaya mkondo wa pili zitaendelea huku baadhi ya timu zikitaka kufuzu hatua ya 16 na zingine zikitaka…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatarajia upinzani mkali kutoka kwa Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa…