KUHUSU MALALAMIKO YA SPORTPESA KWA YANGA…INJINIA HERSI AWATUPIA MPIRA CAF…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema mdhamini wao Mkuu ambaye ni Kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa haina haki…
Browse all posts in this category.
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema mdhamini wao Mkuu ambaye ni Kampuni ya michezo ya kubashiri SportPesa haina haki…
Jambo lililotokea kati ya Yanga na mdhamini wao mkuu naona ni makosa ya kiutendaji zaidi. Hizi klabu kila siku zimekuwa zikihubiri mabadiliko…
Wakati kipa wa Yanga, Metacha Mnata akiendelea na majukumu yake kikosini humo, uongozi na benchi la ufundi la timu hiyo limemtaka kuachana…
Uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza kusikitishwa na tamko lililotolewa na Mdhamini wake mkuu ‘SportPesa’likiishutumu Klabu hiyo kukiuka makubaliano ya kimkataba kwa…
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamka kwamba kwa hali ilivyo ndani ya kikosi hicho atatua Tunisia kibabe sana na wataanza vizuri mechi…
Hapo awali nchini DR Congo kulikuwa na kijiji kinaitwa Ngoma, lakini mpelelezi Gustav Adolf von Götzen alishindwa kutamka jina la Ngoma akatamka…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema anaishabikia Klabu ya Yanga (Wananchi) lakini hawezi kuvaa jezi zao kwani…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ghana, Bernard Morrison, amerejea kikosini baada ya kutatua matatizo yake na uongozi pamoja na benchi la…
Sakata la Kampuni ya kushashiri ya SportPesa na Klabu ya Yanga limemuibua Mchambuzi wa Soka la Bongo Jemedari Said Kazumari, akihoji taratibu…
WAKATI Yanga ikipiga hesabu kali za jinsi gani itaanza mechi yake ya kwanza ugenini ya hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho…
Uongozi wa SportPesa umesema imesikitishwa na uamuzi uliochukuliwa na uongozi wa Klabu ya Yanga wa kukiuka makubaliano yao ya kimkataba kwa kuzindua…
Panga pangua kwenye safu ya benchi la ufundi katika timu za Ligi Kuu, tayari limepita timu 10 huku sita pekee ndio hazijafanya…