YANGA WAFUNGUKA UKIMYA MICHUANO YA SHIRIKISHO AFRIKA…ALLY KAMWE KAANIKA SABABU HIZI..
Uongozi wa Klabu ya Yanga umewashuka Presha Mashabiki na Wanachama wake, kwa kuweka wazi mipango na mikakati ya kuelekea mchezo wa Kombe…
Browse all posts in this category.
Uongozi wa Klabu ya Yanga umewashuka Presha Mashabiki na Wanachama wake, kwa kuweka wazi mipango na mikakati ya kuelekea mchezo wa Kombe…
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amesema, kazi kubwa iliyo mbele ya kikosi chake kwa sasa ni kuhakikisha wanashinda michezo iliyosalia, ili…
Beki wa US Monastir ya Tunisia Ousmane Adama Ouattara amesema, wapo tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wa kwanza Hatua ya Makundi Kombe…
Kiungo Mrundi Gael Bigirmana ameikalia kooni Yanga akitaka impe barua ya kuondoka na kumlipa mamilioni ya pesa baada ya kile alichodai kukiukwa…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema uwezekano wa winga wake Bernard Morrison kusafiri na wenzake kwenda Tunisia kuwafuata wapinzani wao US…
Siku chache tu tangu Yanga imtangaze mdhamini mpya wa mechi sita za Kombe la Shirikisho Afrika, kampuni ya SportPesa ambayo ni Mdhamini…
YANGA hawatanii kimataifa ndivyo unavyoweza kusema, hii ni baada ya uongozi wa timu hiyo kuweka wazi kuwa unatarajia kutumia siku tano sawa…
Daktari wa timu ya Yanga, Moses Etutu ametoa taarifa ya maendeleo ya wachezaji wetu wawili Abutwalib Mshery pamoja na Bernard Morrison ambao…
Vuguvugu la kimkataba kati ya klabu ya Yanga na mdhamini wake mkuu, Sportpesa limezidi kukolea baada ya wanasheria wakitofautiana juu ya sakata…
Mabingwa wa Soka DR Congo TP Mazembe wameendelea kujiimarisha kuelekea Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Hatua ya Makundi inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa…
Mlinda Lango chaguo la Pili wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga Abutwaleeb Mshery, anatarajiwa kwenda nchini Tunisia kwa ajili ya matibabu.…
MABINGWA Watetezi Yanga SC wameendelea na harakati za Kutwaa taji la 29 kwa kuzidi kuiacha Simba SC kwa tofauti ya Pointi 6…