KUFUATIA KUSAJILI MASTAA WENGI WA MAANA….NABI AVUNJA UKIMYA KUHUSU NAFASI YA SURE BOY KIKOSINI….
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohamed Nabi ametuliza hofu kwenye kikosi chake, kufuatia usajili wa baadhi…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasreddine Mohamed Nabi ametuliza hofu kwenye kikosi chake, kufuatia usajili wa baadhi…
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ baada ya kandarasi yake kumalizika. Balama alijiunga na Yanga Juni…
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Fiston Kalala Mayele ameahidi kuanza msimu mpya wa 2022/23 kwa aina tofauti ya…
Yanga imemalizana beki Mkongomani,Joyce Lomalisa ambae ametambulishwa tayari baada ya kuzungumzwa kwa wiki kadhaa. Kocha Mkuu wa Yanga, amefurahia usajili uliofanywa na…
KIUNGO Aziz KI anatarajiwa kutambulishwa leo Julai 14 na mabosi wa Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili. Nyota huyo alikuwa…
JUZI Jumamosi klabu ya Yanga imefanya uchaguzi wa viongozi wapya. Ndio uchaguzi wa kwanza baada ya kupita kwa katiba mpya inayohalalisha mfumo…
MTEGO wa viwanja vigumu walioutegua Yanga msimu huu 2021/22 ndio uliowapa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya 28 na kuendeleza…
KIUNGO nyota wa Yanga, Aboubakar Salum Jr ‘Sure Boy’ amesema kwa aina ya mastaa waliotua Yanga mpaka sasa msimu ujao utakuwa balaa.…
KIKAO cha kwanza cha Yanga chini ya rais mpya mhandisi, Hersi Said kinatarajia kufanyika leo, kati za ajenda zilizotajwa zitapewa nafasi ya…
Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ametimka nchini juzi mchana na ndege iliyomleta kiungo wake mpya Gael Bigirimana, lakini akafichua kiungo mshambuliaji Aziz…
Kiungo mpya wa Yanga, Gael Bigirimana amezungumza kwa mara ya kwanza na kuanika kilichomleta Jangwani, huku akisema akishirikiana na wenzake, makombe hayatakauka…
Rais wa klabu ya Yanga, Hersi Said amesema baada ya kumaliza Uchaguzi Mkuu wanaenda kurudisha umoja na kutekeleza vipaumbele walivyoahidi huku akiomba…