KUELEKEA MASHINDANO YA CAF MSIMU UJAO…ISHU YA ITC ZA WACHEZAJI WAPYA ZAWASHTUA YANGA…MANARA ANG’AKA…
Uongozi wa klabu ya Yanga, umeahidi kutorudia makosa katika michuano ya kimataifa kwa kujipanga vyema na kuhakikisha wachezaji wapya wanapata vibali mapema…