AZIZ KI AWAITA MASHABIKI ZANZIBAR…ANAZITAKA DAK 90
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz KI amesema bado hawajamaliza kuna dakika 90 nyingine pale New Amaan visiwani Zanzibar. Yanga imewasili jijini…
Browse all posts in this category.
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz KI amesema bado hawajamaliza kuna dakika 90 nyingine pale New Amaan visiwani Zanzibar. Yanga imewasili jijini…
Yanga imerejea jana mchana ikitokea Ethiopia ilikokwenda kuvunja mwiko wa kupata ushindi wa kwanza ndani ya ardhi ya nchi hiyo kwa kuichapa…
Unaweza kusema Kocha Miguel Gamondi amekuja Yanga kwa ajili ya kufanya yasiyowezekana yawezekane kwani hadi sasa ameifanya timu hiyo kuwa tishio katika…
MASHABIKI wa Yanga wamekuwa wakiliimba sana jina la Stephane Aziz KI ndiye nyota hatari katika kikosi hicho kutokana na msimu uliopita kuibuka…
Mshambuliaji wa wa zamani wa Yanga anayekipiga na Wana Nyuki Tabora United, Heritier Makambo ‘Mzee wa Kuwajaza’ amesema kuna mabadiliko makubwa ya…
BAO moja lililofungwa na Prince Dube dakika 45 kipindi cha kwanza dhidi ya CBE SA ya Ethiopia lilitosha kuitanguliza Yanga mguu mmoja…
Wakati Yanga ipo tayari katika ardhi ya Ethiopia kwa mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa…
“Nimemsikiliza vyema mwanasheria wa Fountain Gate. Kimsingi nimependa sana jamaa amechagua kuwa mwaminifu.” “Kimsingi amethibitisha kuwa mkataba baina ya Yanga na Fountain…
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amethibitisha kuwa timu yao ilikamilisha mchakato wa kumsajili Yusuph Kagoma mwezi Machi 2024 kutoka klabu…
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga SC wamewasili salama mjini Addis Ababa tayari kwa mchezo wa mkondo…
Mchezo wa hatua ya pili na ya Mwisho ya Mtoano Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Comercial Bank of Ethiopia (CBE FC)…
Yanga itatua nchini Ethiopia kwa makundi tofauti ambapo hapa unavyosoma Mwanaspoti kundi la wachezaji waliokuwa nchini Ivory Coast na kikosi cha Taifa…