FRIJI LA BALEKE HALIGANDISHI…AJITAMBULISHA YANGA
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Jean Baleke ambaye alikuwa kwa mkopo kunako klabu ya Al Ittihad ya Libya amethibitisha kujiunga na Young Africans…
Browse all posts in this category.
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Jean Baleke ambaye alikuwa kwa mkopo kunako klabu ya Al Ittihad ya Libya amethibitisha kujiunga na Young Africans…
MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa…
MASHINE ya Kusaga na Kukoboa Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga…
Taarifa zinaeleza kua kiungo wa zamani wa klabu ya Simba Jonas Mkude “Nungunungu” huenda akapewa mkono wa kwaheri ndani ya klabu ya…
UONGOZI wa Mabingwa wa Kihistoria Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na…
USAJILI WA KIUNGO Clatous Chama ni furaha kwa mashabiki wa Yanga lakini huenda ukawa ni mtihani mzito sana kwa Mudathir Yahya ambaye…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Jean Baleke Inaelezwa kuwa amesaini mkataba wa mwaka mmoja Yanga, baada ya kufuzu vipimo vya afya juzi…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi. Gamondi amesema…
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa anafurahishwa na usajili ambao umefanywa na uongozi wa kuleta MASTAA. Lakini wanahitaji muda wachezaji…
HATIMAYE Imejulikana, Mashabiki wa Wapenzi wa Yanga waliokuwa roho juu, presha inapanda na kushuka sasa hali shwarii. Ni baada ya uongozi wa…
YANGA wabadilisha gia baada ya kuweka wazi kuwa hawataenda nje ya nchi kuweka kambi, kama ilivyokuwa mipango yao ya awali na kuendelea…
Kumekuwa na hisia tofauti juu ya hatima ya Stephene Aziz Ki licha ya Rais wa Yanga, Hersi Said kudai kwamba bado hajasaini…