MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA
Msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa sasa upo namna hii, Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara huku Mwadui wakiwa nafasi…
Browse all posts in this category.
Msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa sasa upo namna hii, Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara huku Mwadui wakiwa nafasi…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Aprili 14 wameibuka na ushindi wa.mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye…
Simba Sc 5 – 0 Mtibwa Sugar Simba 5-0 Mtibwa Sugar⚽ Chama 8′⚽ Bwalya 18′⚽⚽ Kagere 43′ 51′⚽ Miquissone#Vpl
RASMI kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mtibwa Sugar leo Aprili 14, Uwanja wa Mkapa
KIKOSI cha Mtibwa Sugar kitakachoanza leo dhidi ya Simba, Uwanja wa Mkapa Aprili 14.
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Soud Slim amesema kuwa wanatambua uimara wa safu ya ushambuliaji ya Simba inayoongozwa na Meddie Kagere…
ALMAS Kasongo, Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, amesema kuwa macho yao yote ni kwenye mechi zote ambazo zitachezwa na kuwataka…
MOHAMED Badru, Kocha Mkuu wa Gwambina FC amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao wa ligi dhidi ya KMC wanaamini watapata ushindi.…
UONGOZI wa kikosi cha klabu ya KMC, umesema kuwa sababu kubwa ya kushindwa kutoa maelezo kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi…
LEO Aprili 13, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili na jumla ya wanaume 22 wataingia uwanjani kusaka pointi…
RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Aprili…