Ligi Kuu
Browse all posts in this category.
JUMA MGUNDA:KILA TUNAPOKESEA TUNAFANYA MAREKEBISHO
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa licha ya kupata matokeo yasiyoridhisha bado anapata muda wa kuongea na wachezaji wake…
IHEFU YAGOMA KUSHUKA DARAJA MSIMU UJAO
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa wana imani ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22…
KMC YAANZA MAANDALIZI FA NA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa sasa umeanza maandalizi kwa ajili ya mechi zao za Kombe la Shirikisho pamoja na Ligi…
MASAU BWIRE:PENALTI ILITUTOA MCHEZONI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa mchezo wao wa jana walitolewa mapema kwenye ari ya ushindani baada ya wapinzani…
MBEYA CITY:TUTAKUWA IMARA, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Mathias Lule amesema kuwa bado wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye mechi zao za Ligi Kuu…
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii ikiwa tayari mzunguko wa pili umeanza ndani ya Bongo
TANZANIA PRISONS YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
UONGOZI wa Tanzania Prisons umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC utakaochezwa…
KOCHA MTIBWA: KILICHOTUPONZA NI KUWAUZIA YANGA BEKI WETU
KOCHA mkuu wa kikosi cha Mtibwa Sugar, Hitimana Thierry amesema kuwa, miongoni mwa vitu vilivyowaponza mpaka kupoteza mchezo wao wa jana dhidi…
FT: YANGA 1-0 MTIBWA SUGAR
Kipindi cha kwanza Uwanja wa Mkapa Yanga 0-0 Mtibwa Sugar Zinaongezwa dakika 4 Dakika ya 45 Mtibwa Sugar wanapata faulo Dakika…
RASMI KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR LEO DHIDI YA YANGA
KIKOSI cha Mtibwa Sugar kitakachoanza leo Februari 20 dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.
KMC YAITEMBEZEA PIRA SPANA KAGERA SUGAR
HASSAN Kabunda, nyota wa KMC leo Februari 20 amepachika mabao mawili wakati timu yake ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye…