KILA MMOJA ASHINDE YAKE….. KIGALI NZIMA YARINDIMA MAXI AAHIDI SHANGWE…… SIMBA YAAHIDI KUISHANGAZA DYNAMO KWAO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo