JINSI CHAMA NA SURE BOY WALIVYOCHOTA MAMILIONI YA PESA SIMBA NA YANGA KILAAINIII KABISA…
KAMA ni bahati nzuri au bahati mbaya. Huyu mchezaji aliyetangazwa kurudi Simba Ijumaa mchana, Clatous Chotta Chama amelamba noti za kutosha ndani…
Browse all posts in this category.
KAMA ni bahati nzuri au bahati mbaya. Huyu mchezaji aliyetangazwa kurudi Simba Ijumaa mchana, Clatous Chotta Chama amelamba noti za kutosha ndani…
NIANZE na kuwakumbusha namna msimu uliopita ulivyokuwa laini kwa Yanga na hasa mwanzoni lakini mwishoni mambo yakawa tofauti kabisa. Mwanzoni, Yanga ilianza…
MASHABIKI wa Simba wamewahi kumuona Kipa Jeremiah Kisubi katika lango? Hapana. Binafsi sijawahi kumuona akidaka. Mara ya mwisho nilimuona akichezea Prisons. Nikasikia…
MAISHA yalienda kasi ndani ya siku moja wiki iliyopita. Simba walitangaza kuvunja mkataba wa Ibrahim Ajibu Migomba. Waliafikiana na mchezaji mwenyewe. Siku…
Habari Ndugu Msomaji, kwa kuzingatia umuhimu wako kwetu na kutambua mchango mkubwa unaoendelea kuutoa kwa kuwa mfuatiliaji wa habari na matukio yetu…
HABARI za kurejea nchini kwa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’ zimepamba moto kipindi hiki cha usajili wa…
TANGU beki wa kimataifa wa Kenya, Joash Onyango alipotua nchini kuitumikia Simba akisajiliwa kupitia dirisha dogo la msimu wa 2020/21 akitokea Gor…
JUMAMOSI iliyopita ilikuwa siku ya mechi ya watani katika Ligi Kuu Bara maarufu kama Kariakoo Derby iliyozikutanisha Simba na Yanga. Timu hizi…
Mtume Muhammad (SAW) anasema ubawa mmoja wa inzi una maradhi, mwingine una dawa. Kwa hiyo inzi akitua kwenye glasi yako ya maziwa…
BILA shaka huyu ni mmoja kati ya wachezaji wenye wasifu mkubwa zaidi hapa nchini ukilinganisha na wachezaji wengine kutokana na timu alizopitia…
KATI ya mkoa ambao umebarikiwa vipaji vya soka basi ni Morogoro uliozalisha vipaji vingi katika Ligi Kuu Bara ndani ya misimu mitano…
JARIBU kuvaa viatu vya mchezaji anayeitwa Heritier Makambo. Maisha lazima yatakuwa magumu kwake. Kitu pekee ambacho unaweza kumsifu ni uwezo wake wa…