BAADA YA KUTAKATA KWENYE LIGI YA MOROCCO…MSUVA HUYOOO ULAYA…AITAJA LA LIGA YA HISPANIA…
ZIPO ligi nyingi na kubwa barani Ulaya lakini fikra na mawazo ya Mtanzania, Simon Msuva ambaye anakipiga huko Morocco kwenye klabu…
Browse all posts in this category.
ZIPO ligi nyingi na kubwa barani Ulaya lakini fikra na mawazo ya Mtanzania, Simon Msuva ambaye anakipiga huko Morocco kwenye klabu…
JINA la winga wa Simba, Benard Morrison, limekuwa kubwa mbele ya wadau wa soka tangu atue Tanzania mwaka 2020 akiichezea Yanga miezi…
DIRISHA Dogo la usajili kwa msimu huu litafunguliwa Desemba 15 na kufungwa Januari 15 mwakani ambapo timu zitapata fursa ya kuimarisha vikosi…
NILIANDIKA hapa wiki chache zilizopita. Jinsi mataifa ya Afrika Magharibi yalivyotuacha mbali kisoka. Jinsi wachezaji kibao wa Afrika Magharibi wanavyoweza kuingia katika…
KASSIM Dewji ni moja ya viongozi wenye alama kubwa ndani ya klabu ya Simba kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa akiwa katika…
Tangu Haji Manara amehamia Young Africans Sports Club ni kama ameshajua kuwa brand yake ime drop kiasi fulani. Hana ule mvuto tena…
WATANZANIA wameiweka majaribuni akili ya Clatous Chotta Chama. Kiungo wa zamani wa Simba ambaye ameacha jina kubwa nchini. Nchi ambayo inakugeuza kuwa…
GHAFLA tumemfanya Feisal Salum ‘Fei Toto’ kama staa mpya katika soka letu. Wakati mwingine soka letu linachekesha sana. Fei ni yule…
JANA asubuhi katika hali isiyotarajiwa kwenye mitandao ya kijamii, na kwenye magroup ya Whatsapp ya kimichezo kulizuka gumzo kubwa la siku, ambapo…
Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine ,naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha…
KWAMBA Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ angemkaba Kylian Mbappe katika michuano ya Kombe la Dunia 2022 pale Qatar ilikuwa ni ndoto iliyokuja ghafla kama…
NILIKUWA juu ya kitanda nikiperuzi mtandaoni kabla ya kukurupushwa na taarifa ya uteuzi wa kocha mpya wa Simba aitwaye Pablo Franco Martin.…