KUHUSU MPINZANI ROBO FAINAL CAF….ZIMBWE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA WANAYEMTAKA…
NAHODHA wa Simba, Mohammed Hussein `Zimbwe Jr, amesema kumaliza kinara wa kundi kwenye michuano kombe la Shirikisho Afrika kumewapa nafasi ya kukwepa…
Browse all posts in this category.
NAHODHA wa Simba, Mohammed Hussein `Zimbwe Jr, amesema kumaliza kinara wa kundi kwenye michuano kombe la Shirikisho Afrika kumewapa nafasi ya kukwepa…
IKIWA ndio timu pekee iliyobakia katika mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutoka Afrika Mashariki na Kati, wachezaji…
BAADA ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuweka hadharani ratiba ya Ligi Kuu Bara inaonyesha mwezi ujao ambao ligi hiyo itarejea baada…
SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0,…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Saed Ramovic, amesema moja ya sababu zilizofanya timu yake ishindwe kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya…
KATIKA dakika 270 sawa na mechi tatu za mwisho kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kujipata kutokana…
WAKATI Simba ikitarajiwa kukutana na timu moja kati ya Stellenbosch ya Afrika Kusini, Asec Mimosas ya Ivory Coast au Al Masry ya…
WAKATI Klabu ya Simba ikitangaza kuwa baada ya kumaliza mchezo wake dhidi ya CS Constantine, hesabu zote sasa zipo kwenye mechi ya…
KLABU ya Yanga imesema imepata somo na imejifunza kitu kutokana na kutolewa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo viongozi…
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare…
MCHEZO wa Kariakoo Dabi ambao Yanga itaikaribisha Simba umepangwa kuchezwa Machi 8, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ikiwa…
MASHABIKI wa Yanga usiwasogelee wala usiongee nao kwani bado hawaelewi kipi kilichoizuia timu hiyo kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…