KUELEKA DABI YA 25…, HUYU MUKWALA HUYU….’SHOW’ YAKE YANGA WAJIPANGE LA SIVYO 🫣🫣…
NYOTA wa Simba SC, Steven Mukwala amefikisha jumla ya mabao 13 ndani ya ligi. Kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Juni 22…
Browse all posts in this category.
NYOTA wa Simba SC, Steven Mukwala amefikisha jumla ya mabao 13 ndani ya ligi. Kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Juni 22…
✍🏿.. ANAANDIKA NAZARETH UPETE Niwapongeze mno @ligikuu kwa kuamua kuja na waamuzi kutoka nje ya Nchi hasa kwenye mchezo huu wenye maamuzi…
Nyota wa Simba, Moussa Camara ameibuka kipa bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kufikisha ‘Clean Sheets’ 19,…
KATIKA maboresho ya kikosi cha Yanga kwa ajuili ya msimu ujao wa 2025-2026, Yanga imepanga kufanya usajili wa kuziba maeneo machache ikiwemo…
KIONGOZI wa N-Card Catherine Chami amewapa uhakika mashabiki waliopoteza tiketi zao ambazo walizikata kwa ajili ya mechi ya Dabi ya Kariakoo kati…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitangaza Tanzania kama nchi itakayoandaa mechi na tukio la ufunguzi wa fainali za CHAN 2024…
DONE Deal! Ndiyo, Azam FC kwa sasa inasubiriwa kutangaza tu juu ya kumnasa kocha mwenye heshima zake katika soka la Afrika, Florent…
NGOMA ni nzito kwa kiungo mshambuliaji Feisal Salum kusepa ndani ya Chamazi Complex kupata changamoto sehemu nyingine mpya kutokana na mabosi wa…
MASHABIKI wa soka kwa sasa wanahesabu siku kabla ya kushuhudia pambano la Dabi ya Kariakoo lililopangwa kupigwa Juni 25 baada ya kuahirishwa…
MWAMBA wa Burkina Faso, Stephanie Aziz KI tayari ameshaanza kukipiga katika chama lake jipya la Wydad Casablanca alikotua hivi karibuni akitokea Yanga,…
MASHABIKI wa soka nchini wameanza kuhesabu vidole kuhusiana na siku ya kupigwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Juni 25 kwenye Uwanja wa…
LIGI Kuu Tanzania Bara ipo kwenye dakika za lala salama. Tayari nafasi nne za juu zimeshajulikana. Hiyo ikimaanisha kwamba Simba, Yanga, Azam…