MWAKA 2024 UNAISHA NA HAYA NDIO MAFANIKO KWA TFF NA TIMU ZA TANZANIA AFRIKA…
MWAKA 2024 umeonekana kuwa ni wa mafanikio makubwa kwenye soka la Tanzania, ambapo timu zake mbalimbali za taifa zimefuzu kucheza michuano ya…
Browse all posts in this category.
MWAKA 2024 umeonekana kuwa ni wa mafanikio makubwa kwenye soka la Tanzania, ambapo timu zake mbalimbali za taifa zimefuzu kucheza michuano ya…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, wamepata ushindi mkubwa zaidi kwa mara ya kwanza, wakiibamiza Fountain Gate mabao 5-0 katika mechi…
MASHABIKI wa Yanga wanamuona beki mpya aliyetua hivi karibuni kutoka Singida Black Stars, Israel Mwenda mazoezini tu, lakini bado hajaweza kuruhusiwa kuanza…
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids amesikia kelele za mashabiki wanaomponda Ellie Mpanzu, kisha akamkingia kifua kwa kumtetea akisema wanambeza leo ndio watakaomshangilia…
HAZUNGUMZWI sana, lakini namba alizonazo katika timu ya Yanga zinambeba, Clement Mzize aliyegeuka kuwa mshambuliaji hatari na muhimu wa kikosi hicho kilichopo…
KAMA weβ ni shabiki wa Simba na ulikuwa na mawazo huenda kiungo Fabrice Ngoma anaweza kuondoka hivi karibuni, basi sahau kwani nyota…
MIGUEL Gamondi, aliyewahi kuinoa Yanga na kujizolea sifa kibao kwa mafanikio aliyoyapata akiwa na timu hiyo, inadaiwa ameikaushia ofa aliyopewa na AS…
KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho amefunguka akikiri kuwa mziki wa Azam ndio unaowanyima raha kwa namna wanavyokutana na upinzani mkubwa, huku nyota…
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiwa ndio kwanza imeanza duru la pili na ikienda kusimama hadi Januari 20 mwakani, aliyekuwa kipa wa Coastal…
NYASI za Uwanja wa KMC Complex, Mwenge zitawaka moto kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kesho, ambapo Yanga itawakaribisha Fountain Gate,…
BAO pekee lililowekwa kimiani dakika 41 na kiungo Fabrice Ngoma limeiwezesha Simba kujihakikisha kuuaga mwaka 2024 na kujiandaa kuingia 2025 ikiwa kileleni…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limetangaza kuifungia CS Sfaxien ya Tunisia kucheza mechi zake mbili za mashindano ya kimataifa ya…