NO AISHI MANULA NO BENO KAKOLANYA NO PROBLEM…MANULA AMPONGEZA ALLY SALIMU
Golikipa namba moja wa Simba SC,Aishi Manula, amempongeza golikipa namba tatu wa timu hiyo kwa kuweza kuhimili mechi ya dabi na kuondoka…
Browse all posts in this category.
Golikipa namba moja wa Simba SC,Aishi Manula, amempongeza golikipa namba tatu wa timu hiyo kwa kuweza kuhimili mechi ya dabi na kuondoka…
Msimamizi wa mchezaji Feisal Salum katika sakata lake na Yanga, Jasmine Razack amesema kuwa Kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) zinaruhusu…
Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Peter Okoye, ( P- Square) almaarufu Mr. P, amemjia juu beki wa PSG, Achraf Hakimi kuhusu sakata lake…
Vilabu vilivyokuwa vikimnyemelea aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba SC, Louis Miquissone zimeamua kuachana naye baada ya kiwango chake kuporomoka hali ilisababisha hata…
Wakati wakiwa na kidonda cha kufungwa na Simba leo. CAF wamepangua figisu ya wanaigeria baada ya ombi la Klabu Bingwa nchini Nigeria…
Baada ya kumalizana na Yanga leo, Uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa licha ya kupangwa na wapinzani wakubwa katika hatua ya robo…
Mchezo wa ‘Kariakoo Derby’ kati ya Simba na Yanga umemalizika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wenyeji kushinda mabao 2-0 na kufuta…
Aliyekuwa kipa wa Cosmopolitan, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania mwaka 1967, Mohamed Mfaume ‘Difu’ (katikati) amefariki dunia Ijumaa ya Aprili 14…
Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), imewasimamisha Waamuzi wanne wa Botswana waliochezesha mchezo wa mwisho wa kufuzu AFCON 2023…
Simba na Yanga zinakutana kwa mara ya 110 kwenye Ligi Kuu wikiendi hii tangu Jumatatu ya Juni 7, 1965. Yanga ilishinda bao…
Tunataka pointi tatu. Kocha msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema hakuna lugha tofauti na hiyo kambini kwao. Yanga itakuwa ugenini dhidi ya…
Zikiwa zimebaki saa Chache kuanza kwa mtanange wa Simba na Yanga hali inaonekana kupoa nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa tofauti na…