HIZI HAPA MECHI 10 KALI ZA SIMBA NA YANGA…TV YAGEUKA KUWA REFA WA MECHI KABLA YA VAR
Presha ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga imeanza kupanda na kushuka kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo kongwe.…
Browse all posts in this category.
Presha ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga imeanza kupanda na kushuka kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo kongwe.…
Mechi inayobeba chapa ya ligi ya Tanzania bara, zinakutana timu mbili ambazo zimekuwa na kiwango kizuri kinachoambatana na matokeo mazuri katika mechi…
Stephane Aziz Kl ni mchezaji asiyetabirika kwa kweli na anatuchanganya sana. Kuna wakati huwa hachezi vizuri na hadi anawapa hofu waliomsajili kujihisi…
KANOUT playmaker, Sadio ni box to box midfielder, ni mzuri kama utahitaji abadilike kutoka na vipindi ndani ya uwanja, acheze baina ya…
HAYA ndio maajabu ya Stephane Aziz KI. Wakati ambao wadau na mashabiki wa Yanga wamekuwa wakiona kiwango chake kimeshuka kwa vipindi tofauti,…
Nani mkali wa mabao? Ubishi utamalizika Jumapili hii Uwanja wa Mkapa lakini kwa sasa habari ya mjini ni kuhusu kiwango cha mshambuliaji…
Siku ya jana ulipigwa mchezo wa ligi kuu ya nchini Nigeria, ambapo uliwakutanisha Lobi Star na Rivers United ambapo Lobi Star waliondoka…
Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga inaendelea kuwatoa watu jasho kila mmoja akielezea hali ya mchezo huo itakavyokuwa huku nahodha…
Makocha na wachezaji waliowahi kuzitumikia Simba na Yanga, wanaitazama dabi ya Aprili 16 kwamba itaamuliwa na mbinu, nidhamu na utalivu kutokana na…
Kocha msaidzi wa Simba SC Juma Mgunda amesema kuwa maandalizi yanakwenda vyema kwa wachezaji wake kupokea kila kitu ambacho benchi la ufundi…
Kocha na nyota wa zamani wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ameuangalia ubora wa timu yake hiyo ya zamani na ule wa Simba…
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake…