BAADA YA BOCCO KUDANANDA JUZI…MBRAZILI SIMBA AAMUA KWENDA MAZIMA NA BALEKE…
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa ataingia kivingine kimbinu watakapovaana dhidi…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa ataingia kivingine kimbinu watakapovaana dhidi…
Katika mechi ya mwisho ya kundi lao Simba inaweza isipite halafu watakumbuka pambano lao la kwanza la kundi C katika michuano hii…
Kutokana na mvutano mkubwa uliopo kati ya uongozi wa klabu ya Yanga na kiungo wa timu hiyo, Feisal Salimu ‘Feitoto’, ambao bado…
Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo cha Habari…
Nyota wa zamani wa Geita Gold na Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, George Mpole aliyesajiliwa na FC Lupopo ya…
Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji amesema kupoteza kwao dhidi ya US Monastir kwa mabao 2-0 hakujawaondolea malengo yao ya kutinga…
Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja, elfu nne…
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula amesema kuwa wachezaji wa timu hiyo wamecheza vizuri dhidi ya Horoya licha ya kufungwa…
Wawakilishi wa Tanzania Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga juzi Jumapili walipoteza mechi ya kwanza ugenini hatua ya makundi dhidi ya US Monastir…
Mchambuzi na mwandishi nguli wa michezo nchini, Edo Kumwembe amesema kuwa kilichowaponza Yanga kufungwa na US Monastir huko Tuninia sio ufupi wa…
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu ametangaza kulinunua kwa Tsh. Milioni 5 kila goli litakalofungwa na Simba au Yanga katika michezo yao…
Baada ya mbilinge na sarakasi nyingi sasa imetosha, ni muda muafaka wa kuzijua ni timu gani zitasonga mbele hatua ya 8 bora…